Brian Spilner
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 2,034
- 6,038
Hahahaa..Hivi unavijua vitu vya wizi lakini?
I rest my case mkuu..
Hahahaa..Hivi unavijua vitu vya wizi lakini?
Subiri yatakukuta tu Labda sio hii dunia ya vilamba mwiko nayoijua mimi..
One day yes..![]()
dunia ya vilamba mwiko ndo ikoje mkuu...! Umenichekesha.Ndo hii subiri yatakukuta tu.. Tena sio vilamba mwiko tu wapo na vikomba mboga..dunia ya vilamba mwiko ndo ikoje mkuu...! Umenichekesha.
Wajumbe mna nguvu Sana🤣wakikukataa umeishaJimbo lina wenyewe mamy me mjumbe tu![]()
Hahaha
Yapi hayo niambie nijue na MimiMimi nawapa pole wote mlio single mnaokosa mautamu jamani
Yapi hayo niambie nijue na Mimi
Usininyime uhondo bana hata trailer tuUkikua utajua