Tansy
JF-Expert Member
- Apr 19, 2018
- 3,946
- 8,952
Hapo inauma sana aisee yeye anakuhitaji akiwa anahitaji mzigo tu .The shit happens when the person you are dating takes you as aside chick while ur counting him as ur main wherever..hapo ujue shida tayari
umeongea kwa uchungu sana,kama nakuona vile
sikumsemesha chochote yani niliondoka kimya na wala sikumtafuta mpaka leo,huwa tunakutana njiani au anakuja kwa marafiki zake ambao ni majirani zangu ila napishana nae simsemeshi chochote,rafiki zake hunitania kuhusu yeye mbele yake ila hua nakausha



