Tulio in deep love kipindi hiki tujuane

yaani mapenzi yale yalikuwa sio ya kawaida mume wangu tulishinda wote jikoni nikimpigisha stori yeye akiandaa chakula akimaliza anachukua kiti nakaa hapo wakati ananisaidia kuosha vyombo mimi nimekaa pembeni nampa stori hata zizizoeleweka.akitoka kidogo akirudi anapitia dukani lazima aniletee ile malt ya kahawa ya baridi sana au lazima aniletee kitu chochote.na yeye vilevile akitaka kutoka lazima nimbariki kwa mabusu yote mpaka ajione duniani hakuna mwanaume mwingine isipokuwa yeye.alipotoka huko alikokuwa ilikuwa haipiti lisaa limoja hajanipigia simu au mimi sijampigia simu wala kumtumia sms.movies za love story zilikuwa haziishi humo ndani.kiukweli maisha tuliyafurahia kiasi kwamba tulijiona duniani tunaishi wenyewe tu.mkuu hayo yalidumu kwa miezi mitano tu.yaani kilichofuata hapo ni kukerembeshana au ni kufanya nini mwanaume alibadilika ndani ya kipindi kifupi tu cha wakati mpaka kufikia kuachana.yaani mpaka nilijiuliza au nilichelewa kurenew limbwata nini
Pole sana. Nadhani shida ilikuwepo hapo "kiukweli Maisha tuliyafurahia kiasi kwamba tulijiona duniani tunaishi wenyewe tu". Yaelekea mlijisahau mkaweka "guard" chini. Ukweli ni kwamba mambo yanaponoga shetani naye anakuwa karibu sana kutafuta upenyo ili aharibu.
 
binafsi nipo ktk kipindi hiki, kiukweli kama ni kupendwa napendwa haswaa na mm pia nampenda mno huyu masai wangu..hakika Mungu kanipa haja ya moyo wangu..kanipa wa kufanana nae, December nitakwenda kutoa mahari..tuzidi kuombeana wakuu
Tupe mrejesho mkuu
 
Back
Top Bottom