Tulinganishe biashara na ajira hapa

Security iendane na maendeleo kulingana na malengo mahsusi ya mtu itakuwa vizuri
 
Nimeshangaa sana kuona watu wanabeza mtaji wa 500k-1ml kuleta faida ya 300k-500k kwa mwezi.
Maana yake ni kwamba unalaza kuanzia 10k hadi 17k kwa siku.

Labda walielewa hiyo faida ya 500k unaipata kwa siku.
 
My POV

BIASHARA
-ina risk kubwa but also high return (profit)
-peronal freedom ya kujiamulia ni kubwa
-inahitaji consistency na personal supervision ili ikuwe
-inahitaji critical thinking sana (pasua kichwa)
-possibility ya kukua ni kubwa
-inakupa mwelekeo mzuri kama ukiimudu vizuri as kila kitu kinakuwa ndani ya control

AJIRA (SERIKALINI)
-haina risk ama low kama ipo
-kuna freedom lakini ya kuamuliwa unless uwe na cheo kikubwa ama maybe kuendana na ulipoajiriwa
-haiumizi kichwa just play your part
-constant income unless upige ama uvirige mambo au uwe kwenye taasisi zenye posho
-pasua kichwa after kustaafu kama haukuwa na side hustles nyingine

Summary
Kama una vision tayari ama una mpango thabiti wa kibiashara hata kama unaingiza 400k ama 500k monthly just pangilia vizuri mambo yako naamini biashara inakua ila kama huna mpango mzuri na elimu yako ni kubwa bora kuajiriwa
 
Security iendane na maendeleo kulingana na malengo mahsusi ya mtu itakuwa vizuri zaidi
 
Muache afanye kinachowezekana kwa wakati husika.
Mitazamo inatofautiana. Mwingine atakuuliza je nikiacha kujenga ili nikuze biashara na bahati mbaya biashara ikafa au malengo ya ukuaji yasifikiwe? Mwingine kipaumbele chake ni kuwa na makazi binafsi kwanza ili awe huru ndo apambane vizuri na biashara.
 
Nimeshangaa sana kuona watu wanabeza mtaji wa 500k-1ml kuleta faida ya 300k-500k kwa mwezi.
Maana yake ni kwamba unalaza kuanzia 10k hadi 17k kwa siku.

Labda walielewa hiyo faida ya 500k unaipata kwa siku.
Exactly kiongozi labda wao walielewa vibaya
 
Security iendane na maendeleo kulingana na malengo mahsusi ya mtu itakuwa vizuri
Unapokuwa unatazama mafanikio katika biashara usingalie tu returning

Ila lazima uangalie na mambo kama
Uzoefu
Changamoto
Ujuzi wa kuuza na kununua
Mahusiano ambayo umeshayajenga kati yako na wateja .


Ikiwa Una six years in business na umepata yote hayo unakuwa umefanikiwa kwa asilimia fulani.

Hii ni tofauti na MTU mwenye pesa nyingi Ila hana hayo yote hayo anaweza kuingiza mtaji na akapotez.

Mfano wastaafu wengi huwa wanapoteza mtaji as well wanopataga hela za urithi na wanaoshinda lottery .

So tusiangalie mafanikio kwa angle moja pekee ya kuwa na Cash.(Currency)

Hata unapohesabu utajiri wa MTU huwa hauangalii Currency pekee unaangalia Assets anazomiliki huyo MTU na hii ndo tofauti ya Wealthiest person and richest person.
 
Umeongea vizuri kiongozi 💯
 
Target yangu sio security but development and success njia ipi itanifikisha mapema? Je katika hali sawa kati ya mfanyabiashara na muajiriwa kunaweza kuwa na gap? Ni nani yupo juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…