Tulimtafuta siku nne tulimkosa 😂😂

Tulimtafuta siku nne tulimkosa 😂😂

Master sikuwa mmendea ila kwa alivyokuwa anajua kunipangilia nguo zangu na misosi kipindi hiko najuta kwanini sikumtongoza sababu nadhani angekuja kuwa replacement nzuri ya ex wife master .
Sasa si ndo ulikuwa unampenda kimoyo moyo na hujafunguka ...? Kasela ka kitaa kakapita nae .... Pole kwa kuachana na mke pia ... maisha ndg yangu hawa viumbe tumeambiwa tuishi nao kwa akili
 
Hayanaga miongozo...


Cc: Mahondaw
Baba is now Active.jpeg
 
...hidden... Nikaanza kuchungulia dirishani. Kumbe mwenzangu 'kitumbua' kiliingia mchanga tangu asubuhi! Kachukua pesa ya mtaji, kachukua na begi lake, kaacha tu mwiko na sufuria tupu zinanicheka. Yaani badala ya kukaanga vitumbua, akajikaanga yeye mwenyewe na kusepa!

Sasa hivi nimebaki natafuta 'mchawi' kwenye kadi ya simu, huku nikiwaza: Hivi alitoroka na kile kitumbua changu cha kwanza alichofanyia majaribio au hata hicho hakusubiri kikaiva?"
 
Back
Top Bottom