Tulimcheka Kikwete kumbe wengine wapo!

Ingelikuwa hapa wangewalipa 4 million na elfu themanini.
 
Mzee Mwenzangu

Kwanini hawakutumia Lugha ya kiswahili?

You have nailed it..
 
All in all ya Muungwana ilikuwa kali, completely different!
 


Kwanza kabisa hiyo cheque ikienda benki, hakuna malipo yoyote yatakayofanyika hapo, mpaka irudishwe ili iandikwe upya au wahusika wa-cross saini baada ya kurekebisha tofauti itiyopa hapo. Hii inaonyesha ni jinsi gani walio na madaraka wasivyokuwa makini na kazi/dhamana walizopewa. Huyu afisa aliyesaini hapo anahusika kwa namna yoyote ili kujibu tuhuma hizo. Hakutakiwa kusain bila kuangalia uhalali wa kilichoandikwa hapo...

WITO WANGU KWA WOTE WALIOPEWA DHAMANA NA WANANCHI AU NA WAKUBWA ZAO........WATAMBUE KUWA.... CHEO NI DHAMANA
 
Kisawahili pia kina utata wake...hebu andika hizi kwa maandishi...Tshs 11,000 na Tshs 10,001 kwa kiswahili

Yaani nimecheka saaaaaaaaaana!:biggrin::biggrin::biggrin::biggrin::biggrin::biggrin::biggrin::biggrin:
Hata hivyo baada ya kufikiria, nikasema ngoja niiandike........Tshs. Elfu kumi na moja tu! na Tshs. Elfu kumi na shilingi moja tu! Am i right??
 


Nimetafakari pia nikagundua kumbe huo ni mfano wa hundi! Original itaandikwa sahihi (correctly!!!)
 


Nimetafakari pia nikagundua kumbe huo ni mfano wa hundi! Original itaandikwa sahihi (correctly!!!)
 
Yaani nimecheka saaaaaaaaaana!:biggrin::biggrin::biggrin::biggrin::biggrin::biggrin::biggrin::biggrin:
Hata hivyo baada ya kufikiria, nikasema ngoja niiandike........Tshs. Elfu kumi na moja tu! na Tshs. Elfu kumi na shilingi moja tu! Am i right??

Wrong...ni shilingi kumi na moja alfu(11,000) na shilingi kumi alfu na moja(10,001)...wengi tunapenda kutamka shilingi elfu kumi na moja....sasa utata zote mbili zinatamkwa hivyo kwa kisawhili kibovu
 
11,000=elfu kumi na moja and then 10,001= kumi elfu na moja au nimekosea?:shock:
 
Mi nadhani pamoja na sababu nyingine, pengine lugha inayochechemea pia ni sababu inafanya watu washindwe kusema kile wanachotaka kukisema katika maandishi.



tatizo linaweza kutokana na undugunization (nepotism); watu wanajazana maeneo ya kazini kwa kupigiana mapande ndugu kwa ndugu matokeo yake ndiyo hayo mtu anafanya kazi kwa kufuata mazoea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…