Mzee Mwenzangu
Kwanini hawakutumia Lugha ya kiswahili?
You have nailed it..
Milioni nne Mia nane thelasini na nne elfu Mia nane sitini na nane na senti sitini na mbili
Kitu chochote unachoweka sahihi hakitaki haraka haraka. Aliyetia sahihi nchi za watu wanaojali kuwajibika hana budi kujieleza au hata kuwajibishwa.
Kama hilo hundi kubwa hivyo anaboronga sijui kama anaweza kufuatilia small print za contracts zinazohitaji sahihi.
Kisawahili pia kina utata wake...hebu andika hizi kwa maandishi...Tshs 11,000 na Tshs 10,001 kwa kiswahili
Meneja Uhusiano wa TBL,Edith Mushi (kushoto) akikabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi milion 4.8 kwa Mwenyekiti wa TASWA FC,Majuto Omary kwa ajili ya mashindao ya Bonanza huko mkoani Arusha.katikati ni Afisa Uhusiano wa TBL,Lilian Erasmus.
Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) imetoa sh. 4, 875,000 kwa timu ya soka ya Waandishi wa Habari za Michezo Nchini (TASWA FC) kwa ajili ya kushiriki katika bonanza la waandishi wa habari wa Mkoa wa Arusha.

Yaani nimecheka saaaaaaaaaana!:biggrin::biggrin::biggrin::biggrin::biggrin::biggrin::biggrin::biggrin:
Hata hivyo baada ya kufikiria, nikasema ngoja niiandike........Tshs. Elfu kumi na moja tu! na Tshs. Elfu kumi na shilingi moja tu! Am i right??
Mi nadhani pamoja na sababu nyingine, pengine lugha inayochechemea pia ni sababu inafanya watu washindwe kusema kile wanachotaka kukisema katika maandishi.