Tulikuwepo Hukuwepo!

Tulikuwepo Hukuwepo!

Unachopaswa kujua ni kuwa Mfumo wa Ujamaa umekufa Dunia Nzima kutokana na kuwa Mfumo wa kufikirika zaid!

Mfumo uwe Mzuri ni Pamoja na kuwa na uwezo wa kuwa applicable 'site'.

Mfumo wa Ujamaa ni Mzuri sana kwny Discussion na Mijadala ya Maendeleo tu lakin ukija kwny uhalisia ni Mfumo wan kufikirika zaid na Ndio sababu ulikufa japo Wakandarasi wake walikuwa Watu wenye Dhamira na akili za kutosha!
Mfumo wowote lazima una negatives zake na positives pia na cha kuchekesha unaweza kukuta zinawiana. Tatizo utalikuta pale ambapo anayelieleza ni beneficiary au victim.
Mfano elimu bure ni ujamaa na leo tunavyoongea kwenye nchi iliyofanikiwa zaidi katika ubepari, Marekani kuna support katika kusomesha watu wake. Mfano tulipoanza 'kujifunza' ubepari wakati wa Mwinyi waliofurahia matunda ni wawamizi wa viwanja, wakwepa kodi na wazembe walio na network ya ulaji!
Ni ngumu kufafanua lakini iwe ubepari au ujamaa, msingi wa maisha unabakia kuwa kazi, ukweli na haki!
 
79 ulikua Nuksi Sana, unapanga jiwe kwenye foleni kusubiria chakula, sisi tulikua tunasubiria pale kinondoni B usawa wa kile kituo cha mwendokasi.
Kwa mwanamboka?, pale kulikuwa na duka la Bhesco baadae RTC?
 
Wakuu bila kuisahau na timu yao ya mpila wa "pete" Netball walikuwa na mchezaji wao mwana mama Judith chifupa mwaka 1984 akatangazwa mchezaji bora, huku kwa mpila wa wanaume football alikuwa mchezaji kutoka timu ya simba sports club Ramadhani Lenny abega, Gazeti lilikokuwa linapendwa lilikuwa linatoka kila Jumamosi ni Mfanyakazi, mhariri wake mkuu wa gazeti alikuwa James nhende, na mwandishi aliejizolea umaarufu mkubwa enzi zile la sakata la uuzwaji mbuga ya wanyama ya loliondo aliouziwa mtoto wa mfalme wa saudia Arabia na yeye alikuwa mstari wa mbele kupinga marehemu stanlaus katabaro

Dah umenikumbusha hiyo timu ya Bora Netball, maana hata Zamoyoni Mogella alimuoa Pili aliyekuwa mchaza Netball wa Bora shoes
 
Hiyo ilikuwa inaitwa Raba Mtoni Mkuu!

Hapana haikuwa Raba mtoni, Raba mtoni walikuwa wanakuja nazo mabaharia waliokuwa wanazamia meli kioindi hicho, so wakirudi wanakuwa na hizo raba na kuwagawia ndugu zao, nakumbuka nilipewa "Spaga"na Bro aliyerudi mtoni
 
Mfumo wowote lazima una negatives zake na positives pia na cha kuchekesha unaweza kukuta zinawiana. Tatizo utalikuta pale ambapo anayelieleza ni beneficiary au victim.
Mfano elimu bure ni ujamaa na leo tunavyoongea kwenye nchi iliyofanikiwa zaidi katika ubepari, Marekani kuna support katika kusomesha watu wake. Mfano tulipoanza 'kujifunza' ubepari wakati wa Mwinyi waliofurahia matunda ni wawamizi wa viwanja, wakwepa kodi na wazembe walio na network ya ulaji!
Ni ngumu kufafanua lakini iwe ubepari au ujamaa, msingi wa maisha unabakia kuwa kazi, ukweli na haki!
Comrade...nimevutiwa na mchango wako juu ya bandiko hili...nikiongeza kindugu....Ujamaa, kwanza ni "imani"...!
Na ni kweli ujamaa, ulishindwa!...lkn waumini wa ujamaa wameendelea kuwepo ktk "kona zote 12" za dunia...mimi ni mjamaa(lol)
Lkn kuna kitu kimoja, tunatakiwa kutafakari...kwa nini ujamaa ulishindwa, hususana ktk ulaya mashariki, asia, latin amerika, na afrika?
.."Social Democracy", ilifanikiwa ktk nchi za ulaya magharibi, tusisahau!
...."unaweza weka pembeni demokrasia ya kweli, kulingana na mazingira yako, na ukafanikiwa"?... (Tuitupie macho Libya ya Gaddafi, Iraq ya Saddam, kama mfano)....tuitupie macho China!....tuitazame Cuba!...Scandinavians?
 
Hapana haikuwa Raba mtoni, Raba mtoni walikuwa wanakuja nazo mabaharia waliokuwa wanazamia meli kioindi hicho, so wakirudi wanakuwa na hizo raba na kuwagawia ndugu zao, nakumbuka nilipewa "Spaga"na Bro aliyerudi mtoni
Spaga/ supaga?(lol)
 
Comrade...nimevutiwa na mchango wako juu ya bandiko hili...nikiongeza kindugu....Ujamaa, kwanza ni "imani"...!
Na ni kweli ujamaa, ulishindwa!...lkn waumini wa ujamaa wameendelea kuwepo ktk "kona zote 12" za dunia...mimi ni mjamaa(lol)
Lkn kuna kitu kimoja, tunatakiwa kutafakari...kwa nini ujamaa ulishindwa, hususana ktk ulaya mashariki, asia, latin amerika, na afrika?
.."Social Democracy", ilifanikiwa ktk nchi za ulaya magharibi, tusisahau!
...."unaweza weka pembeni demokrasia ya kweli, kulingana na mazingira yako, na ukafanikiwa"?... (Tuitupie macho Libya ya Gaddafi, Iraq ya Saddam, kama mfano)....tuitupie macho China!....tuitazame Cuba!...Scandinavians?
Alafu unajua kiuhalisia nchi za Scandinavia zinapractice ujamaa!?
Kuna school of thoughts tofauti na zote zina la kujifunza, wanasema eti Karl Marks alikuwa na theories nzuri sana juu ya ujamaa tatizo haku specify muda wa yale mawazo kuanza kutumika. Alichukulia kwamba ikifikiwa 'maturity' basi wataadopt lakini alivyokuja Lenin na wenzie wakasema hakuna cha kusubiri hapa, muda ndio huu hivo wakaamua kupindua kwa nguvu ili ujamaa utawale. Huenda hiyo ndio sababu ya ujamaa wa baadhi ya nchi kushindwa.
Ukirudi kwetu unakutana na tatizo hilo hilo no matter ni ujamaa au ubepari. Mfano, unataka kuleta mapinduzi ya viwanda bila mapinduzi ya kifikra kwanza, waht do you expect!? Kibaya zaidi unaimplement sera ya viwanda kwa watu wasio na uhakika wa mlo na elimu ya wananchi na wasimamizi wao (dc, rc, wabunge nk) wanawakilisha vyeti bandia kuajiliwa!
 
Ni kweli!
Ni kweli!
Ni kweli!
...umma haukuandaliwa, kiuelewa, na haukupewa uwezo kielimu kufanya tafakari huru wakati wa kutekeleza sera za kijamaa...
najifunza, hata hapa kwetu, hali ilikuwa ni hivyo...lkn mbaya, hata wakati wa kuachana na ujamaa umma pia haukuandaliwa...lkn, kweli start to prevail, naturally..."ndani ya utandawazi, nguvu ya masikini, ambao ndio wengi, ni umoja!"...
Saccos, na vicoba tunavyoshuhudia ni dalili tu, za awali...!
 
Comrade...nimevutiwa na mchango wako juu ya bandiko hili...nikiongeza kindugu....Ujamaa, kwanza ni "imani"...!
Na ni kweli ujamaa, ulishindwa!...lkn waumini wa ujamaa wameendelea kuwepo ktk "kona zote 12" za dunia...mimi ni mjamaa(lol)
Lkn kuna kitu kimoja, tunatakiwa kutafakari...kwa nini ujamaa ulishindwa, hususana ktk ulaya mashariki, asia, latin amerika, na afrika?
.."Social Democracy", ilifanikiwa ktk nchi za ulaya magharibi, tusisahau!
...."unaweza weka pembeni demokrasia ya kweli, kulingana na mazingira yako, na ukafanikiwa"?... (Tuitupie macho Libya ya Gaddafi, Iraq ya Saddam, kama mfano)....tuitupie macho China!....tuitazame Cuba!...Scandinavians?
Hapo pa kuongeza yugoslavia ya general tito linakumbusha mbali bandiko lako hao walikuwa waumini wa ukweli wa u jamaa.
 
Ni kweli!
Ni kweli!
Ni kweli!
...umma haukuandaliwa, kiuelewa, na haukupewa uwezo kielimu kufanya tafakari huru wakati wa kutekeleza sera za kijamaa...
najifunza, hata hapa kwetu, hali ilikuwa ni hivyo...lkn mbaya, hata wakati wa kuachana na ujamaa umma pia haukuandaliwa...lkn, kweli start to prevail, naturally..."ndani ya utandawazi, nguvu ya masikini, ambao ndio wengi, ni umoja!"...
Saccos, na vicoba tunavyoshuhudia ni dalili tu, za awali...!
Huu uelekeo wa mjadala nauona utaangukia penye oparation vijiji maana wajamaa wameanza kufunguka .Kwani wengi hunena katika dhima nzima ya oparation hiyo watu hawakuwa wameandaliwa kifikra.
 
Mkuu, umenikumbusha mbali sana enzi hizo niko darasa la pili na FaizaFoxy akiwa dada Mkuu wetu na kiatu chake cha bora. Hahahahahaaaha....aaaaa
 
Hapo unapigilia shati ya Bahama au chiriman.Kichwani afro ....huku tunaingia music na nyimbo zaushindi wakumpiga nduli IDD Amin
 
Ni kweli!
Ni kweli!
Ni kweli!
...umma haukuandaliwa, kiuelewa, na haukupewa uwezo kielimu kufanya tafakari huru wakati wa kutekeleza sera za kijamaa...
najifunza, hata hapa kwetu, hali ilikuwa ni hivyo...lkn mbaya, hata wakati wa kuachana na ujamaa umma pia haukuandaliwa...lkn, kweli start to prevail, naturally..."ndani ya utandawazi, nguvu ya masikini, ambao ndio wengi, ni umoja!"...
Saccos, na vicoba tunavyoshuhudia ni dalili tu, za awali...!
Naamini dunia inahitaji UJAMAA zaidi sema tu kuna vikwazo kadhaa vinakwamisha.
Mfano (kwa Tanzania na hizi sababu hazipishani na kwingine duniani):
- Ujinga
- Uzembe
- Uaminifu (kutopenda ukweli kama nyenzo ya kufanikisha kila kitu)
- Chuki (za kivyama, kikabila, kirangi, kidini, kiitikadi)
- Arrogance
- Na mengineyo japo vyote viko dominated na UJINGA.
Mfano mtu sababu ya ujinga wake anajiaminisha kuwa global warming ni suala la kuzua sababu yaye ni beneficiary wa air pollution, hatu utakumbuka sera za Mzee Trump katika kumuita Obama mjamaa.
Au mtu anatokea tu na kujiaminisha kuwa kila mwenye mawazo tofauti na yeye ni adui wa maendeleo wakati kajaza watu walewale kwenye utawala ambao 1% ya wananchi walio kwenye uongozi wanalipwa mishahara ambayo ni 85% ya GDP huku zaidi ya 50% ya wananchi hawana uhakika wa mlo achana na makazi au kusomesha watoto.
Ni wazi katika utaratibu kama huu huwezi kuwaleta watu pamoja ili washiriki mfuno wa uzalishaji kwa kuamini eti wanagawana sawa kinachopatikana! NOTE: Ujinga sio sifa (virtue) ya kujivunia.
 
Bila kusahau simu ya kuzungusha/kukoroga!!😀😀😀😉
 
Zile Fanta zilikuwa na utamu wa kipekee mimi nilikuwa nazibatiza (naongeza maji ili iwe nyingi )lakini ule utamu wake ulikuwa haupotei kirahisi.
Mkuu hizo Fanta nilikua napenda kutupie kajiwe ndani ya chupa,basi naona raha sana ikifurumia ile gesi toka kwenye kile kijiwe ndani ya chupa.
 
Back
Top Bottom