Tulikuwepo Hukuwepo!

Tulikuwepo Hukuwepo!

Kiatu kilikua Safari buti aisee! Unakivaa mpaka unakichoka kipo vile vile tu!
 
Mkuu hizo Fanta nilikua napenda kutupie kajiwe ndani ya chupa,basi naona raha sana ikifurumia ile gesi toka kwenye kile kijiwe ndani ya chupa.
.com ghali sana kuyajua mambo yetu haya ya kipindi hicho Fanta ilikuwa Fanta kweli.
 
Back
Top Bottom