Ila vilikuwa imara kweliTumetoka mbali.
watoto watundu huwa wanazichana na wembe akiona imekaa muda mrefu haichakai na yeye anataka kitu kipya, hahahahahaSana. Mzee alikuwa MORO SHOE, aliwahi kunletea raba nikiwa darasa la pili, wadogo zangu wawili nao waliachiana raba hiyo hiyo!
Ndo mlikua mnaziita "roso/loso" eeeh
Dah..... Enzi hizo ndom shillingi mbili tu....halafu zinauzwa kwa magendo......![]()
![]()
Mwaka 1979 ulikuwa mwaka wa ki-mataifa wa mtoto, kulikuwa na viatu pia vilitoka Bora, viliitwa mwaka wa mtoto.Wewe unatafuta balaa. Mwenzio bado anaugulia makofi alopigiwa mstaafu.