[emoji12] [emoji12] muda acha uende.Mimi niliishia kupima tu kama vinanitosha,niliahidiwa kununuliwa sabasaba ikikaribia.Mungu alivyo na makusudi,nilitumwa kununua unga nikapewa sh.20.Ili uwahi unakoenda ni eidha uwe na ringi la kuzungusha au mpira wa majani ya mgomba,unaupiga na kuukimbilia.Mpira wangu uliniponza nikapoteza 20 ya mama,nilipigwa hadi nilichoka kulia.Ahadi ya viatu iliishia hapo hapo,ila kila mara nilikua naenda kwenye duka la Bora navichungulia viatu vyangu kwenye kioo.R.I.P mama yangu mpenzi.Mwaka 1979 ulikuwa mwaka wa ki-mataifa wa mtoto, kulikuwa na viatu pia vilitoka Bora, viliitwa mwaka wa mtoto.
Ooh, pole sana. Umenikumbusha mtoto mmoja aliitwa Ali, alitumwa akanunue mchele dukani, Enzi zile kula wali ilikuwa big deal, alipopewa pesa amefika dukani amefungiwa mchele kilo mbili kwenye mfuko wa khaki. Njiani mvua ilianza kunyesha, akakimbia nyumbani ili mama awahi kupika mchele. Mfuko ulilowana mchele ukaanza kumwagika, aliwahi kuukinga kwenye viganja. Mama anamuuliza mchele kilo mbili ni huu? Alikula bakora.[emoji12] [emoji12] muda acha uende.Mimi niliishia kupima tu kama vinanitosha,niliahidiwa kununuliwa sabasaba ikikaribia.Mungu alivyo na makusudi,nilitumwa kununua unga nikapewa sh.20.Ili uwahi unakoenda ni eidha uwe na ringi la kuzungusha au mpira wa majani ya mgomba,unaupiga na kuukimbilia.Mpira wangu uliniponza nikapoteza 20 ya mama,nilipigwa hadi nilichoka kulia.Ahadi ya viatu iliishia hapo hapo,ila kila mara nilikua naenda kwenye duka la Bora navichungulia viatu vyangu kwenye kioo.R.I.P mama yangu mpenzi.
Yalikuwa ni maisha ambayo ukiyakumbuka sasa unaishia kucheka tu.Ooh, pole sana. Umenikumbusha mtoto mmoja aliitwa Ali, alitumwa akanunue mchele dukani, Enzi zile kula wali ilikuwa big deal, alipopewa pesa amefika dukani amefungiwa mchele kilo mbili kwenye mfuko wa khaki. Njiani mvua ilianza kunyesha, akakimbia nyumbani ili mama awahi kupika mchele. Mfuko ulilowana mchele ukaanza kumwagika, aliwahi kuukinga kwenye viganja. Mama anamuuliza mchele kilo mbili ni huu? Alikula bakora.
Great memories. REST IN ETERNAL PEACE Mama.[emoji12] [emoji12] muda acha uende.Mimi niliishia kupima tu kama vinanitosha,niliahidiwa kununuliwa sabasaba ikikaribia.Mungu alivyo na makusudi,nilitumwa kununua unga nikapewa sh.20.Ili uwahi unakoenda ni eidha uwe na ringi la kuzungusha au mpira wa majani ya mgomba,unaupiga na kuukimbilia.Mpira wangu uliniponza nikapoteza 20 ya mama,nilipigwa hadi nilichoka kulia.Ahadi ya viatu iliishia hapo hapo,ila kila mara nilikua naenda kwenye duka la Bora navichungulia viatu vyangu kwenye kioo.R.I.P mama yangu mpenzi.
Nami najua hivo ni loso kuna mdau hapo kasema loso ni kitambaaViliitwa Loso dada yangu....sijui kama vipo kwakweli
Mungu wangu. Nilikuwa nimelazwa hospital. Huo unga wa Yanga nilianza kuunywa uji Hospital!Mwaka huo ulikua mgumu Sana, serikali ikatangaza tufunge mkanda miezi michache mambo yatarudia kua sawa(baada ya vita ya kagera), weeeeeeeeee, mpaka Leo hajawahi kurudi kua sawa.
Umenikumbusha mbali Sana Mkuu, kupanga foleni kusubiri unga wa Yanga.
Tuliuita ugali wa mayai.Mwaka huo ulikua mgumu Sana, serikali ikatangaza tufunge mkanda miezi michache mambo yatarudia kua sawa(baada ya vita ya kagera), weeeeeeeeee, mpaka Leo hajawahi kurudi kua sawa.
Umenikumbusha mbali Sana Mkuu, kupanga foleni kusubiri unga wa Yanga.
Hospitali kulikuwa na uji wa bulgar uliletwa kutoka Marekani, ulichanganywa na sukari na maziwa three in one.Mungu wangu. Nilikuwa nimelazwa hospital. Huo unga wa Yanga nilianza kuunywa uji Hospital!
79 ulikua Nuksi Sana, unapanga jiwe kwenye foleni kusubiria chakula, sisi tulikua tunasubiria pale kinondoni B usawa wa kile kituo cha mwendokasi.Tuliuita ugali wa mayai.
Ha ha ha haaaa.. Pole Sana Mkuu.Mungu wangu. Nilikuwa nimelazwa hospital. Huo unga wa Yanga nilianza kuunywa uji Hospital!
Unga wa njano, wenyewe walikuwa wanauita unga wa yanga79 ulikua Nuksi Sana, unapanga jiwe kwenye foleni kusubiria chakula, sisi tulikua tunasubiria pale kinondoni B usawa wa kile kituo cha mwendokasi.
Umenikumbusha, walichaguliwa watoto wenye miaka 10 kama sikosei walienda Ethiopia, shuleni kwetu alichaguliwa mwanaume mie nilikuwa na miaka hiyo lakini nilikosa kigezo. Zamani raha kulikuwa hamna rushwa ingekuwa leo wangeenda watoto wenye wazazi wao CCM.Mwaka 1979 ulikuwa mwaka wa ki-mataifa wa mtoto, kulikuwa na viatu pia vilitoka Bora, viliitwa mwaka wa mtoto.
Nilikuwa std 4.Nilikuwa na mwaka mmoja.
Hahaaa inamana umenizidi umri? weka picha.Nilikuwa std 4.
Sana mie nilikuwa na miaka 10 wewe mmoja.Hahaaa inamana umenizidi umri? weka picha.
Mkuu haiwezekani, darasa lanne ulikuwa na miaka 10???.Sana mie nilikuwa na miaka 10 wewe mmoja.
Naona umeenda kumsalimia Babu?Na hizi ndio zilikuwa zama zetu!
View attachment 491309