Tulikuwepo Hukuwepo!

Tulikuwepo Hukuwepo!

Umesahau raba za Moro shoes, zilikuwa zinauzwa 450/= wakati huo. Hiyo ilikuwa kwenye 1982 huko.
 
Siwezi kusahau nilikuwa kwenye ngonjera na bado ninakumbuka beti zangu, na mwimbo wa kuingilia ulikuwa "watoto ni mwaka wetu, tusonge mbele tusirudi nyuma daima".
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Siwezi kusahau nilikuwa kwenye ngonjera na bado ninakumbuka beti zangu, na mwimbo wa kuingilia ulikuwa "watoto ni mwaka wetu, tusonge mbele tusirudi nyuma daima".
Basi nikuchekeshe. Mimi hizo raba zilisababisha niteuliwa kuwa BAND MEMBER ktk school band, nilikuwa napiga filimbi!
 
Nazikumbuka nilikuwa nazo secondary hizo zenye kisigino kirefu, sikutaka kuwa wa kisasa nilikuwa navaa wananishangaa
 
Haha, kisosi cha chipukiz je ulicheza gwaride?
Haaa. Haaa. Haaa. Nikicheza my. Tulikuwa tunatumia uwanja wa SABA SABA opp na jengo la CCM Morogoro. Shati la green. Suruali Black. Haaa. Haaa. Haaa. Old times are great times.
 
Haaa. Haaa. Haaa. Nikicheza my. Tulikuwa tunatumia uwanja wa SABA SABA opp na jengo la CCM Morogoro. Shati la green. Suruali Black. Haaa. Haaa. Haaa. Old times are great times.
Siku tulipochujwa wapatikane wa chipukizi mimi nilipanic nilirusha mguu na mkono, wenzangu waliokwenda kwenye gwaride baada ya michezo waliitwa wakale wale na pofu wakati sisi wa ngonjera unalinda ile shilingi uliyopewa home asubuhi.
 
Kama nakuona!
 
Kama nakuona!
Yaa uwanjani mnaingia na mnawekewa sehemu yenu maalum wakati wa mtaani wanapigwa na jua. Ratiba inaanza wale wa ngonjera wajiandae, mwalimu anawapanga, kumbu kumbu flani amazing.
 
Very strategic, kwamba kipo kiwanda cha baiskeli cha Swala lakini BORA wanatengeneza tairi kama 'out-supply'.
Ukweli ni kwamba Mwalimu Nyerere aliikomboa na anaendelea kuikomboa nchi hii lakini sababu ya ujinga wetu uliokithiri hatuelewi hili. Miaka kama sabini ijayo tunaweza kuelewa labda! Tunaendelea kuamini katika kutopenda kufanya kazi hivyo kujiaminisha kuwa ukiikabidhi nchi kwa madalali ndio 'maendeleo' kumbe nao watakufanyisha kazi mara kumi zaidi na kwa masilahi madogo kupitiliza na mwisho wanahamisha chote walichopata kupeleka kwingine.
 
Back
Top Bottom