Tulikutana Pasaka na Pasaka hii amenitema.

Mbilimbili

Senior Member
Mar 17, 2012
172
19
Habari za Pasaka wandugu, mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 24. Nilitokea kuwa na uhusiano wa kimapenzi na binti mmoja tuliyesoma naye shule ya Msingi mwaka 2001, kwa bahati nzuri kwake na mbaya kwangu yeye alijaliwa kupata mtoto alipomaliza kidato cha nne. Kitu ambacho hakikunifurahisha, sababu tulikuwa marafiki wa kawaida tokea awali. Baada ya mtoto wake kuwa mkubwa, tulijikuta kuwa wapenzi. Na Pasaka ya mwaka jana nakiri kwamba ndio mara ya kwanza, kumvua nguo. Nilijutia uamuzi wangu ila nilikaza roho na tukaendelea kula raha za maisha, ila tokea jana sim yangu hapokei wala txt zangu hanijibu. Nikimpigia mdogo wake ananiambia dada yake hajisikii kuongea na mimi, sijui nilichomkosea wala hataki kunieleza.
 
anaomboleza msiba wa the great vuta subira mpaka wa safirishe j4 mambo yatakuwa mswano utaendelea kufunua kipochi manyoya chako..
 
Hapo ukiuliza atakuambia anaomboleza hebu mvutie pumzi utakula kwa raha tunda j5
 
ila tokea jana sim yangu hapokei wala txt zangu hanijibu. Nikimpigia mdogo wake ananiambia dada yake hajisikii kuongea na mimi, sijui nilichomkosea wala hataki kunieleza.

Mkuu mbona unaanza kuhesabu vifaranga wakati ndio kwanza kuku kataga mayai ?, hapo huenda haujaachwa huenda kuna sababu subiri kwanza uulieze kwanini kafanya hivyo ukimuona ndio utajua kama umeachwa au hapana..

Anyway kuachwa kupo na ni kawaida katika maisha..., kwahio mkuu ukiwa na mtu just cherish the moment and let tomorrow take care of itself.
 
Labda mzazi mwenzie katia timu. Au ashatathmin ndani ya muda mliokuwa pamoja hujaweza kujipambanua kuhusu future yenu.
 
Nilijutia uamuzi wangu ila nilikaza roho na tukaendelea,
Huoni kama zogo limeshakuondokea au unataka kujua kwanini tena ebu jipange tena kama umekolea subiri akusugue roho,la unaweza kumkosa basi tulia na siku akikupigia cm na wewe mwambie masikio yanakuuma au hujisiki kuongea nae..
 
dah! au umempiga goli? maana some time zygot ikiwemo anafeel kutokukuona hv. lakini lia pumzi!
 
Pole sana kaka lkn naona kama umechukua uamuzi wa haraka mno kwani cku 1,2,3 ni chache sana halafu yeye bado hajasema lolote so wakati fulani epuka kurusha habari kama hizo publically kabla hujathibitisha toka kwake.Kwani wasiopenda uhusiano wenu wanaweza kutumia advantage kuharibu kabisa so nenda umface kwanza.
 
Una kihoro/kiroho papo hapo na kisebu sebu, yaani mtu kuacha kupokea simu siku moja unakimbia ndani na kitaulo???

Una kazi basi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom