Sasa mkuu kwa ushaur huu kama Mwakalenga anakuwepo si anaenda jela na wewe unaenda ICU?Tulia trust haijamtapeli mtu, n tapeli katumia Tulia trust kutapeli.
Sasa unataka mkopo inakuwaje tena ww ndo utoe pesa?
Ukiwa fala, naunga mkono unyooshwe mana huna akili so ngoja wenye akili wakutumie.
Msalimie jamaa mwambie nimesema na bado
Kwa hiyo mkuu ndo mmeweka na kivideo cha Tulia kama anasalimia ili mzipige vizur 😂Tulia trust haijamtapeli mtu, n tapeli katumia Tulia trust kutapeli.
Sasa unataka mkopo inakuwaje tena ww ndo utoe pesa?
Ukiwa fala, naunga mkono unyooshwe mana huna akili so ngoja wenye akili wakutumie.
Msalimie jamaa mwambie nimesema na bado
Sasa jamaa angetuamini vp bila kuweka picha ya Tulia ili tule pesa yake? 😂Kwa hiyo mkuu ndo mmeweka na kivideo cha Tulia kama anasalimia ili mzipige vizur 😂
Tanzania sasa hivi wiziwizi tu. Nchi gani hii kila mtu mwizi? Hakuna mtu ambae yuko salama, yaani nchi hii hata Daktari mwizi, hakimu mwizi, president mwizi. Hii laana hi
Hawez kuwa na hizo nguvu za kunipeleka icu mana huyo hajitambui, unaomba mkopo iweje sasa ww ndio utoe pesa?Sasa mkuu kwa ushaur huu kama Mwakalenga anakuwepo si anaenda jela na wewe unaenda ICU?
Sio kweli.Nchi ya wizi,utapeli na uwongo.
Nchi ya kishetani.
Wizi na utapeli umegeuzwa fasheni. Lifestyle
Kiherehere chote kwishaaaaaaaaaaaaaaaaaa, safi sanaNamuambia jamaa matapeli hao, akawa kibaraka wao. Kawatetea sana, zaidi ya lisaa anatetea, alivyoanza kuamini akapitiwa na usingizi kabisa mana haamini
Hawez kuwa na hizo nguvu za kunipeleka icu mana huyo hajitambui, unaomba mkopo iweje sasa ww ndio utoe pesa?
Hapo umeomba mkopo au umewekeza?
Huyo aliyetapeliwa ni mwanzisha mada mwenyewe.Tulia trust haijamtapeli mtu, n tapeli katumia Tulia trust kutapeli.
Sasa unataka mkopo inakuwaje tena ww ndo utoe pesa?
Ukiwa fala, naunga mkono unyooshwe mana huna akili so ngoja wenye akili wakutumie.
Msalimie jamaa mwambie nimesema na bado
Kuna watu wamepata kaz pale kawe mkuu, kuna sista angu alivyoanza kwenda pale aliolewaga mana ndo alikuwa anaona age go watu hawana mpango wa kuchukua jumlaSio kweli.
N fursa ya wenye akili kupata pesa kupitia wajinga wajinga, n kama mwamposa tuu anavyowanyoosha wajinga
Samaki huoza kuanzia kichwaniTanzania sasa hivi wiziwizi tu. Nchi gani hii kila mtu mwizi? Hakuna mtu ambae yuko salama, yaani nchi hii hata Daktari mwizi, hakimu mwizi, president mwizi. Hii laana hii