Damu za Watanganyika zaidi ya 10,000 walizomwaga 29.10.2025 haziwezi kuwaacha salama hata kidogo, huyo mwenyekiti wake mwenyewe bila kupiga gambe usiku anaweweseka na kulitaja jina la Mzee Kibao.Huyu mama toka atumbuliwe uspika naona hajakaa sawa bado. Mara ajipost huko Instagram anaimba kwaya,Mara amrushie mwenyekiti wake wa chama madongo, Mara ajipost analia, Mara ajipost anacheza muziki.
Naona huyu mtu awahiwe kabla hajawa chizi kamili.
Tangu akose cheo akili bado haijamkaa sawa
hiyo haizuii kuwehuka,Rizki yake ya UHAKIKA na ULINZI wake unatokana na kujulikana kwake, yaani serikali inalazimika ihakikishe usalama wake, VINGINEVYO IJIELEZE!
WEWE JE?
Acha kumpa hofu kila mara wanashauri tujiajiri,kama unajali kwanini hujampa ushauri ajiajiri?Huyu mama toka atumbuliwe uspika naona hajakaa sawa bado. Mara ajipost huko Instagram anaimba kwaya,Mara amrushie mwenyekiti wake wa chama madongo, Mara ajipost analia, Mara ajipost anacheza muziki.
Naona huyu mtu awahiwe kabla hajawa chizi kamili.
Tangu akose cheo akili bado haijamkaa sawa
Je na mirija inayeyuka?Cheo ukimkosa ni mateso
Awe chizi kwanza ndio tujue tunavyomsaidia.Naona huyu mtu awahiwe kabla hajawa chizi kamili.
AlishashughulikiwaAkiendelea kuwakera baada ya kumshughulikia, mshughulikieni zaidi
Mleta mada akapimwe mkojoUshahidi uko wapi? Au unataka tushindwe kukufanyia cross examination?