Tulia Ackson asipowahiwa kuna dalili akawehuka

Huyu mama toka atumbuliwe uspika naona hajakaa sawa bado. Mara ajipost huko Instagram anaimba kwaya,Mara amrushie mwenyekiti wake wa chama madongo, Mara ajipost analia, Mara ajipost anacheza muziki.

Naona huyu mtu awahiwe kabla hajawa chizi kamili.

Tangu akose cheo akili bado haijamkaa sawa
Cheo ukimkosa ni mateso
 
Kwani alikuwa sawa lini?
 
Mungu huenda kadiri ya wakati,dua njema utakazoimbewa huwa baraka kwako na zile mbaya huwa ni laana kwako,na ama ya Mungu sii mjomba Athumani,ama Msumari.
 
Huyu mama toka atumbuliwe uspika naona hajakaa sawa bado. Mara ajipost huko Instagram anaimba kwaya,Mara amrushie mwenyekiti wake wa chama madongo, Mara ajipost analia, Mara ajipost anacheza muziki.

Naona huyu mtu awahiwe kabla hajawa chizi kamili.

Tangu akose cheo akili bado haijamkaa sawa
Huyo tayari ...Next ni wewe...
 
Huyu mama toka atumbuliwe uspika naona hajakaa sawa bado. Mara ajipost huko Instagram anaimba kwaya,Mara amrushie mwenyekiti wake wa chama madongo, Mara ajipost analia, Mara ajipost anacheza muziki.

Naona huyu mtu awahiwe kabla hajawa chizi kamili.

Tangu akose cheo akili bado haijamkaa sawa
Dr Rango anasikitisha Sana.
 
Attachments

  • 1000024076.jpg
    1000024076.jpg
    45.1 KB · Views: 1
Huyu mama toka atumbuliwe uspika naona hajakaa sawa bado. Mara ajipost huko Instagram anaimba kwaya,Mara amrushie mwenyekiti wake wa chama madongo, Mara ajipost analia, Mara ajipost anacheza muziki.

Naona huyu mtu awahiwe kabla hajawa chizi kamili.

Tangu akose cheo akili bado haijamkaa sawa
Damu zisizo na hatia zinamlilia.
 
Huyu mama toka atumbuliwe uspika naona hajakaa sawa bado. Mara ajipost huko Instagram anaimba kwaya,Mara amrushie mwenyekiti wake wa chama madongo, Mara ajipost analia, Mara ajipost anacheza muziki.

Naona huyu mtu awahiwe kabla hajawa chizi kamili.

Tangu akose cheo akili bado haijamkaa sawa

Abebe tumbili wake kwenye we aache ujinga
 
Back
Top Bottom