Tulia Ackson asipowahiwa kuna dalili akawehuka

Tulia Ackson asipowahiwa kuna dalili akawehuka

Isenye

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2024
Posts
1,423
Reaction score
3,821
Huyu mama toka atumbuliwe uspika naona hajakaa sawa bado. Mara ajipost huko Instagram anaimba kwaya,Mara amrushie mwenyekiti wake wa chama madongo, Mara ajipost analia, Mara ajipost anacheza muziki.

Naona huyu mtu awahiwe kabla hajawa chizi kamili.

Tangu akose cheo akili bado haijamkaa sawa
 
Huyu mama toka atumbuliwe uspika naona hajakaa sawa bado. Mara ajipost huko Instagram anaimba kwaya,Mara amrushie mwenyekiti wake wa chama madongo,Mara ajipost analia,Mara ajipost anacheza mziki.
Naona huyu mtu awahiwe kabla hajawa chizi kamili.

Tangu akose cheo akili bado haijamkaa sawa
Siyo huyo tu,ma CCM yote hayako sawa kiakili hasa baada ya mauaji ya kinyama waliyoyafanya kuanzia Oktoba 29 2025,kuteka na kuua wapinzani ni
Ni suala la muda tu karma itadhihirika,damu za watu wasio na hatia hazimwagiki bure
 
Huyu mama toka atumbuliwe uspika naona hajakaa sawa bado. Mara ajipost huko Instagram anaimba kwaya,Mara amrushie mwenyekiti wake wa chama madongo,Mara ajipost analia,Mara ajipost anacheza mziki.
Naona huyu mtu awahiwe kabla hajawa chizi kamili.

Tangu akose cheo akili bado haijamkaa sawa
Hivi kumbe wengi mlikuwa hajamfahamu? Hizo ndizo tabia zake tangu akiwa spika. Ni ka-mama fulani kanafanyaga mambo ya kitoto kitoto hivi. Hana busara na social media zinamfanya azidi kuwa kishoia.
 
Back
Top Bottom