Uchaguzi 2020 Tulia Ackson afunika Mbeya mjini, Sugu apagawa

Go Tulia. Wanawake tunaweza. Phd holder vs Ordinary level certificate.
Ila kwenye siasa Elimu ya mkoloni ni useless. Kama PhD holder anajidhalilisha namna hiyo kisa ubunge.
Hata wewe nikikuwezesha unaweza sanaaaa
 
Kwa uo mkutano hata mimi ningeshiriki hakikaa nisingeondoka bila posho. Huu ndyo muda wa kula pesa zao ila kwenye sanduku la kula ni kuwachinja tu
 
Back
Top Bottom