Mki wapata mnatufanya kama mazombiHongera, napenda mwanaume anaeingia jikoni kupika sio mwanaume hata kujipikia chai tu hawezi.
Mimi sipo hilo kundiMki wapata mnatufanya kama mazombi

Vizuri kama haupo ivyo shikiria hapo hapoMimi sipo hilo kundi![]()
Kizuri ila pika rost ya samaki sio mchuziMwachiluwi nataka Kula Tambi na Samaki wa mchuzi je hiki chakula ni kizuri au niachane na hili wazo?
Hapo kwenye roast sasa, wacha niombe wanipikieKizuri ila pika rost ya samaki sio mchuzi
InapendezaHapo kwenye roast sasa, wacha niombe wanipikie
Asante
Hapo kungekuwa na ndizi ingekuwa unyamaHello
Leo ilikuwa siku ngumu sana kwangu nikawa nimerudi home nimechoka sijao ni bachela nikawaza chakula usiku uhu nikakosa
Nikakumbuka nina ngano na kitimoto nikaona niandae chap nile usiku nisije umwa vidonda vya tumbo
Nikaanza na chapati
View attachment 3203781
Nilipo maliza nika ingia sasa kwenye kitomoto
View attachment 3203782
Baada ya hapo nika andaa now nakula karibuni
View attachment 3203783
Mzee baba umetisha.Hello

ShukrnMzee baba umetisha.
Endelea na moyo huo huo wa kumheshimisha mkubwa wa jiko
Af sikuonagiNyuzi zangu hizi
Niko mzeeAf sikuonagi