Tutakuwa sundowners tokea saa kumi na moja tukisherehekea ushindi wa umma dhidi ya udhalimu,piiipoooz!!! Makamanda kibao watakuwepo,njoo hata kama huna cash,nitakuwepo kwa ajili ya wale waliopigika,you are most welcome and feel free and proud to be among us.
Natafuta mliko saa hizi niwajoin niko Twiter
Natafuta mliko saa hizi niwajoin niko Twiter
Tunakuja huko huko!!!
Poa Kamanda tukutane counter ya nyuma paleTutakuwa sundowners tokea saa kumi na moja tukisherehekea ushindi wa umma dhidi ya udhalimu,piiipoooz!!! Makamanda kibao watakuwepo,njoo hata kama huna
cash,nitakuwepo kwa ajili ya wale waliopigika,you are most welcome and feel free and proud to be among us.
We arushaone unamatatizo sana!!Pm za nini acheni ubinafsi
Njoo calito classic pub magorofa ya makao mapya