Tukutane hapa kwa walioshindwa ku-root simu zao

Tukutane hapa kwa walioshindwa ku-root simu zao

Ndio mkuu unaweza root tablet kupitia apps za hapo juu

Maandalizi: (i) Charge Simu yako, angalao ijae
kwa 50% (ii) Wezesha ‘’Developer Options”
kwenye simu yako. Menu hii
imefichwa kwa watumiaji wa
kawaida. Sisi tunataka kutumia simu
zetu kwa 100%. Sasa kuifichua nenda
Settings>About phone>Build number. Baadhi ya simu (LG na HTC) nenda
Settings>About phone>Software
information>Build number. Ukishafika
kwenye Build number gusa hapo mara
saba (tap 7 times)…mpaka uambiwe
“You are now a Developer” (iii) Sasa nenda Settings>Developer
options>USB debugging. Weka tiki
hapo (kama haipo) (iv) Nenda
settings>Security>Unknown Sources.
Weka tiki hapo (Kama haipo). Hapo maandalizi yatakua ni tayari.
Sasa download KingRoot 4.0 (or
above) kwa kui search kwenye Google
kisha Install kwenye simu yako. Baada
ya ku install gusa ‘Open’. Baada ya
hapo KingRoot itafunguka na itaitambua simu yako automatically—
Model ya Simu na Toleo lake. (Mf.
Model: H6 Android 4.4.2). Kama simu
yako haijawahi kuwa rooted utaona
‘Root access is unavailable’. Chini
gusa ‘START ROOT’. Hapo KingRoot itakua inakomboa simu yako kutoka
kwenye kifungo cha maisha…kuwa na
subira zoezi hilo litachukua muda
kidogo (sio Zaidi ya dak 6)…mpaka
utakapoona ‘ROOT SUCCSSFULLT’
DONE!!!!! YOU ARE NOW A SUPERUSER…!!!!! -- Ili kuhakikisha kama simu yako
imeshakuwa rooted, nenda PlayStore
kisha download Root Checker. Ukishai
Install na kuifungua gusa ‘VERIFY
ROOT’. Ukiona ‘’Congratulations! Root
access is properly installed on this Device” HAPO KILA KITU TAYARI!!!!! FAIDA ZA KU ROOT SIMU: 1. Utaweza ku update toleo la mfumo
wa simu yako (Kuflash). Mfano kama
unatomia Android 4.4.2 (KitKat)
unaweza kui update kwenda Android
5.0 (Lollipop) Simu ya Android haiwezi
kuflashiwa bila kuwa rooted! 2. Hua inatokea simu kuibiwa. Wewe
unaesoma Makala hii usiibe simu ya
Android siku hizi (ukiokota mtafute
mwenye nayo). Nitafute nikupe story!!
Sasa zipo program nyingi za ku track
simu yako wakati imeibiwa lakini nyingi huondoka kwenye System ya
simu yako baada ya kufanyiwa
‘Factory reset’ au kuflashiwa. Kama
ume root simu yako, zipo Program za
kuitafuta simu yako ambazo hata
mtuhumiwa aiflash au aireset….BADO ITAKUWEPO TU! Mfano wa Program
hizo ni Cerberus. 3. Utakua na uwezo wa kuweka
Program nyingi na nzuri za kuifanya
simu yako iwe fasta na kuboresha
muonekano (performance and
appearance). Pia kuna program za
kutunzia chaji, Kuzuia matangazo kutoka Google (mf. AdAway), n.k….
ambazo hazitafanya kazi bila root MUHIMU;
Rooting inaweza kuharibu kabisa simu
yako na kuifanya isiwake tena!! (Mimi
hapa sitahusika kwa lolote). Usiogope,
hii huwatokea wale wanaokurupuka
na kutofuata maelekezo. Mimi binafsi nishairoot simu yangu na za Marafiki
zangu zisizopungua 20 bila madhara
yoyote kutokea. Fanya utafiti kwanza
ni program gani sahihi ku root simu
yako, omba ushauri,….. Pia Rooting inaharibu Warranty ya
simu yako. Kama ulipewa Warranty
uliponunua simu yako na ukaikuta na
tatizo, ukiirudisha haitakubalika.
Aidha, inawezekana pia ku’unroot’ MWISHO;
 
Tevno c7 Mkuu inagoma
 
Jaman mm nimejaribu kutumia njia zoote kuroot simu yangu nimeshimdwa, natumia mi note 4 android 6.0 nimeshapewa permision ya kuunlock bootloader ila sasa katika maelekezo yao yoote wanasema uende kwenye mi unlock status uangalie, kwel nikiangalia imelockiwa, sasa wanasema uende kwenye OEM unlocking, na mm simu yangu haina hio kitu nishafanya kila kitu nimeshindwa kuiunlock kabisa naomben msaada hapo
 
a5ba2377347e4695fdab1ae56798584b.jpg
 
Mkuu Mimi simu yangu ni huawei U22 ni ya laini mbili lkn line1 inanilazimu nitumie Airtel pekee lkn Mimi sipnd hyo hali je nikiiroot itakubali kutumia hata line nyingne? Na je natumia root gani??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom