Tukutane hapa kwa walioshindwa ku-root simu zao

Tukutane hapa kwa walioshindwa ku-root simu zao

Kuroot tecno w3&4, lazima uwe na pc.
>download spflash tools, twrp for tecno w3 or w4, vcom driver ya tecno w3/4 kwenye pc yako
>download supersu.zip kwenye simu yako na isevu.
>ruhusu developer option na weka alama kwenye OEM unlock akafu zima simu
>fungua spflash tool kwenye pc, load scatter file la twrp alafu bonyeza download.
>chomeka simu yako kwenye komputa.
>spflash tool itaonyesha alama ya successful download.
>chomoa simu yako alafu reboot recovery. Hapa itawakia kwenye twrp.
>click install nenda katika folder ulilosevu supersu, click supersu.zip alafu swipe to install.
>iwashe simu yako. Hapo utakuwa teyari ushairoot tecno w3/4 yako.
Naweza kupata link za kudownload hizo apps na software ulizotaja
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom