Tukutane hapa kwa walioshindwa ku-root simu zao

Tukutane hapa kwa walioshindwa ku-root simu zao

",,sim yangu haiwez kujiupdate mpaka nitumie pc je nifanyeje ili niwe naupdate kwa wi_fi au mobile network samsung galaxy note 2

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ngoma ngumu, nadhani mpaka sasa hakuna aliyefanikiwa labda awe ametumia PC, sio Framaroot, iroot, kingroot, vroot, kingoroot wala towelroot. Kama yupo aliyefanikiwa atuelekeze kafanyaje?

G.Don-Master.
Ndo nilichobakiza niku root kwa pc tu naon
 
download App yaFramaroot kisha install moja kwa moja kwenye simu yako, baada ya
hapo fungua App hiyo kisha
chaguaSuperuser auSuperSU. Kisha endelea mbele kwa
kuchaguaBoromir, baada ya hapo kama umefuata hatua zote
utaona meseji ikitokea inayo
kwambia umefanikiwa ku-root
simu yako, kama umefika hapo
usiwe na haraka bali kinachofuata
unatakiwa ku-restart simu yako fanya hivyo kisha kwa kubofya OK. Baada ya kufanya hivyo utakuwa
umefanikiwa kuroot simu yako ya
Tecno wale wa tecno w4 w3 nadhani nishawapia majibu stahiki

Mkuu tecno W3 unaroot vipi?
 
Nahitaji mwenye utaalamu wa ku upgrade iPhone yenye gb16 na kuwa gb60 au zaidi wakuu
 
Hi,
Kama kawaida ya jukwaa letu n kuelimishana mambo mbali mbali hivyo leo nmeandaa uzi huu maalum kwa wale wote wanaohitaji kufurahia ulimwengu wa rooting but wameshindwa either uoga wa kijinga au apps walizotumia haziendani na simu zao yaani namaanisha mfano kingoroot apk haijawah kuroot tecno w4. Hivyo leo nmeandaa baadhi ya apps ambazo zitasaidia.

Iroot_inatumika sana kwa simu za HTC na samsung.
Kingroot & kingoroot kwa baadhi ya simu nyingi za samsung na tecno ila kumbuka kudonwnlod new version.
Framaroot_cm zote
Pingpong root_kwa cm nying za samsung..
au unawez kutumia hiz Vroot, Srs root, Z4root, Universal root.Odin root,Cf-auto root,Root genius na Root master&Unlock root.....,

Kama sijaeleweka tuulizane hapa hapa jukwaani na naamini wataalam zaidi tutasaidiana kutumbua majipu ya unrooting phones. Ningependa niseme hivi "Kwa sasa wapenda games bila kuroot simu hatuwezi"

Nice day
[HASHTAG]#Alban[/HASHTAG]
Nitakutafuta

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani Tecno C9 hata Mimi nimeshindwa ukiclick root inazunguka tuuu haileti feedback yoyote
 
Inafanyika mkuu angalia utube utaona, ila inatakiwa wataalamu
[emoji23][emoji23] we jamaa umenichekesha kinoma.
sio kila kinachofanyika YouTube ni ukweli wengine wanatafuta viewers wapige hela tu.
 
Mkuu alban makoa Infinix S2 Pro nafanyaje kaka?nilishawahi ku-root Huawei kwa kutumia Kingroot nikafanikiwa ila hii nimeingia wenge nisije nikaizima maana haina hata wiki toka niitie mkononi.naomba nisaidiwe njia salama ya kufanya iwe rooted maana najiona niko jela!thanks in advance

sent from my Infinix S2 Pro using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom