mimi nina HTC Desire 820s Dual Sim, tatizo lake inashindwa kuingiza system updates hata baada ya kuzidownload,
ni kwamba inazidownload ila wakati inarestart ili ziingie, inaziingiza kama kidogo halafu panatokea triangle(pembatatu) flan hivi yenye alama ya mshangao(!) ndani yake na hapo ndio inakuwa mwisho haiendelei tena kuingiza...inarestart tena na inawaka kama kawaida.. tatizo lingine la hii simu huwa wakati mwingine inaji-restart yenyewe bila kui-command kufanya hivyo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.