Tukutane hapa kwa walioshindwa ku-root simu zao

Tukutane hapa kwa walioshindwa ku-root simu zao

[QUOT="mkorea, post: 24312834, member: 381365"]Alie root tecno cxs anisaidie plz[/QUOTE]
features zake
 
download App yaFramaroot kisha install moja kwa moja kwenye simu yako, baada ya
hapo fungua App hiyo kisha
chaguaSuperuser auSuperSU. Kisha endelea mbele kwa
kuchaguaBoromir, baada ya hapo kama umefuata hatua zote
utaona meseji ikitokea inayo
kwambia umefanikiwa ku-root
simu yako, kama umefika hapo
usiwe na haraka bali kinachofuata
unatakiwa ku-restart simu yako fanya hivyo kisha kwa kubofya OK. Baada ya kufanya hivyo utakuwa
umefanikiwa kuroot simu yako ya
Tecno wale wa tecno w4 w3 nadhani nishawapia majibu stahiki
Pamoja mkuu
 
Kama kun alieshidw kuhack games zozote tusaidiane
 
[QUOTEmmanuel S Jonathan, post: 27654718, member: 303277"]wakuu aliefanikiwa root tecno cx atupe njia rahisi[/QUOTE]
Naomb features z sim yako mkuu
 
Nimejaribu kuroot huawei yangu Y3II lua22 lkn haikubali hyo kingroot na pia nimejaribu kutumia kingoroot mwisho inaandika try again or CPU root again
Msaada nitumie njia gani kwenye simu ili nifanikishe make maandalizi yote nimeshafanya kila kitu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom