Tukutane hapa kwa walioshindwa ku-root simu zao

Tukutane hapa kwa walioshindwa ku-root simu zao

Nimejaribu kuroot huawei yangu Y3II lua22 lkn haikubali hyo kingroot na pia nimejaribu kutumia kingoroot mwisho inaandika try again or CPU root again
Msaada nitumie njia gani kwenye simu ili nifanikishe make maandalizi yote nimeshafanya kila kitu
adroid version ngap mkuu
 
Yaan nimeroot simu zaid ya 22 sijaua hata moja so nashangaa huyo alieua simu..ila kitu kingine kama huna uzoefu wa kufanya rooting tafadhali uliza utapewa maelekezo
mkuu naomba muongozo nataka kuroot Sony xperia z4...
 
Je niendelee kuamini kuwa Tecno W4, 5, ...hazijapata mbabe wa ku-root????
 
Mimi natumia Galaxy Note 4 ila sasa inaonyesha ni Version ya Korea SM-N910K ambapo nilipoipata simu hii ilikuwa na android version 5.1.1 Lollipop lakini kwenye Matumizi yake baadhi ya USSD hazifanyi kazi hususani za PESA kama airtel Money nk. Sasa ikawa inanikwaza sana na pia Nikawa natamani kuiupdate kwenye android Version 6.0.1 MarshMallow lakini kila nikiangalia Update kupitia OTA inaniambia No Update. Sasa ndio nikasema Nifikirie Kuroot ili niweze kuweka custom rom sasa wakati naroot nimetumia ODIN V3.13.1 na CF Auto Root ya N910K lakini imeshindikana na Kwenye Screen kuna Maandishi MEKUNDU yameandikwa Recovery is not Seandroid Enforcing' Hapa ndio shughuli yangu imeishia na Naomba Msaada wa kuirudisha in Normal na Pia Ikiwezekana kuweka Android Marshmallow ili niweze kuitumia.

Japo mwanzo Android iliyokuwepo ni 5.1.1 ambapo kama nilivyosema baadhi ya ussd hazirun sas nilipokosea hapa nikapata wazo inawezekana simu ilishakuwa rooted So naombeni Msaada wenu Wajuzi

@ Alban Makoa
 
Nimekwamia hapa "Your device seems not vulnerable to exploit included in Framaroot" katika juhudi za kushughulikia Tecno W4. Je nifanye nini ili kufanikiwa?
 
Hi,
Kama kawaida ya jukwaa letu n kuelimishana mambo mbali mbali hivyo leo nmeandaa uzi huu maalum kwa wale wote wanaohitaji kufurahia ulimwengu wa rooting but wameshindwa either uoga wa kijinga au apps walizotumia haziendani na simu zao yaani namaanisha mfano kingoroot apk haijawah kuroot tecno w4. Hivyo leo nmeandaa baadhi ya apps ambazo zitasaidia.

Iroot_inatumika sana kwa simu za HTC na samsung.
Kingroot & kingoroot kwa baadhi ya simu nyingi za samsung na tecno ila kumbuka kudonwnlod new version.
Framaroot_cm zote
Pingpong root_kwa cm nying za samsung..
au unawez kutumia hiz Vroot, Srs root, Z4root, Universal root.Odin root,Cf-auto root,Root genius na Root master&Unlock root.....,

Kama sijaeleweka tuulizane hapa hapa jukwaani na naamini wataalam zaidi tutasaidiana kutumbua majipu ya unrooting phones. Ningependa niseme hivi "Kwa sasa wapenda games bila kuroot simu hatuwezi"

Nice day
[HASHTAG]#Alban[/HASHTAG]
Picha inajieleza mkuu! Ni kwamba kuanzia device zenye adroid 5.0.0 na kuendelea ni vigumu saana kuroot na ukipata root ikafanya kaz bhas kuna baadhi ya vitu avitokuwa sawa kama notification parnell.... Na smu kuwa na tatzo la kuzma na kuwaka.!

Mpaka unaona nimetumia root master ujue nimetumia root zoote ulizo ziorozesha na azikufanya kazi

Na ndo maan wanaolalamika weng kuwa root azfanyi kaz ni hao waliokuwa within hizo versiom otherwise utumie pc
Screenshot_20180818-200338.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
download App yaFramaroot kisha install moja kwa moja kwenye simu yako, baada ya
hapo fungua App hiyo kisha
chaguaSuperuser auSuperSU. Kisha endelea mbele kwa
kuchaguaBoromir, baada ya hapo kama umefuata hatua zote
utaona meseji ikitokea inayo
kwambia umefanikiwa ku-root
simu yako, kama umefika hapo
usiwe na haraka bali kinachofuata
unatakiwa ku-restart simu yako fanya hivyo kisha kwa kubofya OK. Baada ya kufanya hivyo utakuwa
umefanikiwa kuroot simu yako ya
Tecno wale wa tecno w4 w3 nadhani nishawapia majibu stahiki
Mkuu NOKIA 2 yangu nataka kuiroot aisee. Ebu nipe jina la app na step by step kama ulivowasaidia wenzangu wa tecno

Tafadhali ukijibu niquote
 
Picha inajieleza mkuu! Ni kwamba kuanzia device zenye adroid 5.0.0 na kuendelea ni vigumu saana kuroot na ukipata root ikafanya kaz bhas kuna baadhi ya vitu avitokuwa sawa kama notification parnell.... Na smu kuwa na tatzo la kuzma na kuwaka.!

Mpaka unaona nimetumia root master ujue nimetumia root zoote ulizo ziorozesha na azikufanya kazi

Na ndo maan wanaolalamika weng kuwa root azfanyi kaz ni hao waliokuwa within hizo versiom otherwise utumie pcView attachment 840598

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimejaribu kwa PC, ila nimeshindwa kushughulika na EWRP. Nikiweka EWRP.zip (1Je
Picha inajieleza mkuu! Ni kwamba kuanzia device zenye adroid 5.0.0 na kuendelea ni vigumu saana kuroot na ukipata root ikafanya kaz bhas kuna baadhi ya vitu avitokuwa sawa kama notification parnell.... Na smu kuwa na tatzo la kuzma na kuwaka.!

Mpaka unaona nimetumia root master ujue nimetumia root zoote ulizo ziorozesha na azikufanya kazi

Na ndo maan wanaolalamika weng kuwa root azfanyi kaz ni hao waliokuwa within hizo versiom otherwise utumie pcView attachment 840598

Sent using Jamii Forums mobile app
Je natumiaje PC??? Nimejaribu, na kushindiwa katika kushughulika na EWRP.zip Recovery.
 
Mimi natumia Galaxy Note 4 ila sasa inaonyesha ni Version ya Korea SM-N910K ambapo nilipoipata simu hii ilikuwa na android version 5.1.1 Lollipop lakini kwenye Matumizi yake baadhi ya USSD hazifanyi kazi hususani za PESA kama airtel Money nk. Sasa ikawa inanikwaza sana na pia Nikawa natamani kuiupdate kwenye android Version 6.0.1 MarshMallow lakini kila nikiangalia Update kupitia OTA inaniambia No Update. Sasa ndio nikasema Nifikirie Kuroot ili niweze kuweka custom rom sasa wakati naroot nimetumia ODIN V3.13.1 na CF Auto Root ya N910K lakini imeshindikana na Kwenye Screen kuna Maandishi MEKUNDU yameandikwa Recovery is not Seandroid Enforcing' Hapa ndio shughuli yangu imeishia na Naomba Msaada wa kuirudisha in Normal na Pia Ikiwezekana kuweka Android Marshmallow ili niweze kuitumia.

Japo mwanzo Android iliyokuwepo ni 5.1.1 ambapo kama nilivyosema baadhi ya ussd hazirun sas nilipokosea hapa nikapata wazo inawezekana simu ilishakuwa rooted So naombeni Msaada wenu Wajuzi

@ Alban Makoa
mkuu hill tatizo haliusiani na rooting
 
Wazee wa kazi nliroot s6edge
Sasa nataka ku update software
Msaada
 
Kuroot tecno w3&4, lazima uwe na pc.
>download spflash tools, twrp for tecno w3 or w4, vcom driver ya tecno w3/4 kwenye pc yako
>download supersu.zip kwenye simu yako na isevu.
>ruhusu developer option na weka alama kwenye OEM unlock akafu zima simu
>fungua spflash tool kwenye pc, load scatter file la twrp alafu bonyeza download.
>chomeka simu yako kwenye komputa.
>spflash tool itaonyesha alama ya successful download.
>chomoa simu yako alafu reboot recovery. Hapa itawakia kwenye twrp.
>click install nenda katika folder ulilosevu supersu, click supersu.zip alafu swipe to install.
>iwashe simu yako. Hapo utakuwa teyari ushairoot tecno w3/4 yako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom