Tukutane chumbani kukichwa

Kanda ya ziwa hakuna hayo mavitu lakini wanapiga show zenye viwango vya juu sana... Wengine mnakwama waaapi???
Huko kanda ya ziwa kuna mademu wanavutia sana huhitaji kuvuta hisia saaana ili kuliamsha dude. Dude linaamka hata kabla hamjafika chumbani
 
Vyakula vyangu mi na nani? umeambiwa kila mtu JF ambaye hali ugali basi anakula chips na pizza? Naona unakuja na personal attacks za kijinga labda imekugusa sana moyo, em nenda kwenye kioo jiangalie lazima utakua na man boobs.

Tatizo wabongo wengi wafanya mazoezi wanakua na man boobs wanadhani wana mwili safi na afya nzuri kumbe wapi. Unaona tu instagram watu wana miili imejishape vizuri nyie mmekaa na man boobs kwa kua tu mnakomalia kupiga sana ugali mnadhani ugali ndo afya. Ugali una carbohydrate kibao ndiyo, na carbohydrate inatumika kwenye kula nguvu ndiyo, ila sio kila kitu ni black and white, unavyopiga excess carbohydrate inabadilishwa kua fat, na insulin level yako inakua high so inaact kama fat storage, fat inatunza kwenye hizo boobs, mgongoni au kwenye kitambi. Ili kuondokana na hali hiyo, carbs mtu unatakiwa kubalance, kula carbs siku ambazo unafanya very heavy workout inayohitaji too much energy kama kunyanyua uzito mkubwa sana, siku unazofanya workout nyingine unaweza acha carbohydrate kabisa ukaingia kwenye ketosis ambapo liver inaproduce ketones unajikuta mwili unaburn fat kupata energy since huna carbohydrate.

Ndiyo nutrition hiyo, sio tu kusoma ila nimeiapply kwenye maisha yangu vizuri tu, sio kwenda kukariri kijinga unakuja na vitu havina backing yoyote ile kisayansi, nakwambia jiangalie kwneye kioo kama huna man boobs ujue kinachokufanya uwe hivyo ni ujinga wako wa kukomalia vitu ambavyo hujui ni nini. Utaishia kuona watu wana miili mizuri online tu endelea kula ugali kila siku ka umetumwa. Na kama ulikua umesoma vizuri nilichopost ungeona sijaandika kua ugali ni sababu ya watu kutokua na nguvu ya kufanya ngono, umerukia tu bila kumaliza nilichoandika. Nenda kale ugali sasa ulale na manboobs
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…