interlacustrineregion
JF-Expert Member
- Oct 28, 2018
- 7,134
- 7,396
Kabisa Bosi, tatizo Binadamu wa leo hii ni Wabishi sanaDume zima linakula chipsi, kuku mataira, pizza, baga, mayai feki n.k wakati huo huo halizingatii; JUNK FOODS
Kabisa Bosi, tatizo Binadamu wa leo hii ni Wabishi sanaDume zima linakula chipsi, kuku mataira, pizza, baga, mayai feki n.k wakati huo huo halizingatii; JUNK FOODS
Watakuja WAFE!Mtakuja kupata mshtuko wa moyo ndugu zangu mabaharia
Mnasingizia viazi na kuku wake!Chips na broiler Dada
Ushauri gani
Ushauri Gani namimi nautaka.
Ukishamwaga sumu uje na mrejesho mkuuHata sijui kwakweli
tatizo puliHivi tatizo nini hasa linalosababisha kaka zetu kupungua nguvu? Katika hii sahani ugali umekosekana au kula ugali ndiyo tatizo kuu?
nkajua baharia anapumuliwaTayariView attachment 1203807
Astakafirurah...
Huko kanda ya ziwa kuna mademu wanavutia sana huhitaji kuvuta hisia saaana ili kuliamsha dude. Dude linaamka hata kabla hamjafika chumbaniKanda ya ziwa hakuna hayo mavitu lakini wanapiga show zenye viwango vya juu sana... Wengine mnakwama waaapi???
Vyakula vyangu mi na nani? umeambiwa kila mtu JF ambaye hali ugali basi anakula chips na pizza? Naona unakuja na personal attacks za kijinga labda imekugusa sana moyo, em nenda kwenye kioo jiangalie lazima utakua na man boobs.Acha uwongo wewe, mi nakula ugali uliochanganywa na nafaka 6 zisizokobolewa na ninapiga mechi vizuri tu.
Tatizo ni kuendekeza vyakula vyenu vya kijinga jinga vyenye mafuta na kemikali nyingi bila kuzingatia lishe bora.
Dume zima linakula chipsi, kuku mataira, pizza, baga, mayai feki n.k wakati huo huo halizingatii;
Mazoezi, kutojipa stress, kujiamini, kunywa maji mengi, kucheki afya mara kwa mara na hata matumizi mabovu ya mwili kwa kuendekeza starehe mara kwa mara na mipombe kali.