Tukutane chumbani kukichwa

Acha uwongo wewe, mi nakula ugali uliochanganywa na nafaka 6 zisizokobolewa na ninapiga mechi vizuri tu.

Tatizo ni kuendekeza vyakula vyenu vya kijinga jinga vyenye mafuta na kemikali nyingi bila kuzingatia lishe bora.

Dume zima linakula chipsi, kuku mataira, pizza, baga, mayai feki n.k wakati huo huo halizingatii;

Mazoezi, kutojipa stress, kujiamini, kunywa maji mengi, kucheki afya mara kwa mara na hata matumizi mabovu ya mwili kwa kuendekeza starehe mara kwa mara na mipombe kali.
 
mkuu nimekopi ulichoandika



"mbwa wako mkali"

"asante na wewe pia"
 
Dume zima linakula chipsi, kuku mataira, pizza, baga, mayai feki n.k wakati huo huo halizingatii; JUNK FOODS
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreā€¦