Tukutane chumbani kukichwa

Kula ugali afrika imekua kama dili, ugali ni moja ya vyakula vibaya sana kula, calories kibao alafu ni carbohydrate tu ambayo itakuja kugeuka kua fat, ndiyo maana watanzania wengi wana vitambi. Afya ya ovyo. Sababu za kupungua nguvu sio hata nutrition, tatizo wengi wanaangalia porn, you might think its not a big deal ila ni bigger than u can imagine.
Acha uwongo wewe, mi nakula ugali uliochanganywa na nafaka 6 zisizokobolewa na ninapiga mechi vizuri tu.

Tatizo ni kuendekeza vyakula vyenu vya kijinga jinga vyenye mafuta na kemikali nyingi bila kuzingatia lishe bora.

Dume zima linakula chipsi, kuku mataira, pizza, baga, mayai feki n.k wakati huo huo halizingatii;

Mazoezi, kutojipa stress, kujiamini, kunywa maji mengi, kucheki afya mara kwa mara na hata matumizi mabovu ya mwili kwa kuendekeza starehe mara kwa mara na mipombe kali.
 
mkuu nimekopi ulichoandika

"mbwa wako mkali"

"asante na wewe pia"
 
Acha uwongo wewe, mi nakula ugali uliochanganywa na nafaka 6 zisizokobolewa na ninapiga mechi vizuri tu.

Tatizo ni kuendekeza vyakula vyenu vya kijinga jinga vyenye mafuta na kemikali nyingi bila kuzingatia lishe bora.

Dume zima linakula chipsi, kuku mataira, pizza, baga, mayai feki n.k wakati huo huo halizingatii;

Mazoezi, kutojipa stress, kujiamini, kunywa maji mengi, kucheki afya mara kwa mara na hata matumizi mabovu ya mwili kwa kuendekeza starehe mara kwa mara na mipombe kali.
Dume zima linakula chipsi, kuku mataira, pizza, baga, mayai feki n.k wakati huo huo halizingatii; JUNK FOODS
 
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom