Tukumbushie kidogo misosi ya kwetu

Ulimakafu

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
29,054
10,700
Mi ukiniwekea ugali wa muhogo na mlenda nishushie na togwa,mbona unakuwa umenikumbusha mbali.
 
Mi ukiniwekea ugali wa muhogo na mlenda nishushie na togwa,mbona unakuwa umenikumbusha mbali.

Ugali wa Muhogo na samaki aina ya ng'onda aliyeungwa kwa nazi..............hii nilikula kule pande za Kipatimo Kilwa..........
 
Samaki aina ya mbasa na mayai yake,ndizi za kuchoma na maparachichi.(hiyo ni full breakfast)
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…