Misosi ya Serena hotel

Ni vyema ukafanya mawasiliano nao na kwa kuwa unafika na family basi itakuwa vyema if you book a table for a grub kupitia tovuti yao au hata simu pia they'll shoot you the prices for each dish on email or whatsApp ila
Usisahau kiasi cha ziada rafiki.
 
Moja ya njia wanazotumia pale Wanacharge kichwa halafu unachagua ule nini, bei itabaki pale pale.

Humu, wengi Njaa tuu,
Wana JF wengi Wanapiga Pasi ndefu(counter attack), wengine wanaojitahidi ni makande Full package, akijitahidi nyama basi ni mateke ya kuku,

Nishakutana Mwana JF anakula mahindi na supu ya Masikio eti vyakula vya asili., rubish.
 
Portion moja ya chakula cha kawaida kabisa ni around 60,000/-... Ambacho kwa migahawa ya kawaida ungekipata kwa 5,000 hadi 10,000
 
Watu kama hawa ni wachache sana, asee nikifanikisha nitakualika next week tujumuike au kunywa Kilimanjaro water hapo ulipo ya baridiii utalipa
Ms eyes anafahamu bei ya baadhi ya vyakula hivyo ni vyema ukamuuliza.

Idadi ya Family yako ni ngapi?
 
Back
Top Bottom