Tukumbushane zile "SCHOOL MOTTOS"

Hahahhahaah unaikumbuka mtoka mbali??? Yale magari ya enzi hizo?
Sehem za network ya simu sasa lkn pmj na hizo changamoto Sumve hakukuwaga na uonevu kbs, wanafunzi wote tulikuwa tunapendana. Ule ubabe ubabe haukuwepo.


Sent using Jamii Forums mobile app
Chuo cha mafunzo kile, tuliwahi kugoma serikali itihamishe au ituambie kile ni kituo cha mtihani au shule? Shule haina mwalimu wala ratiba ya darasa hakuna, umeme, maji ni anasa, Mzee Malecela alikuja ongea nasi kwa hekima Sana ndio wakawa wanatupoza kwa wali daily, plus Uhuru wa kufanya lolote lile hakuna kufuatiliwa, Mkuu wa shule akawa anasema huwa anapewa wanafunzi wenye division one pekee kuja hapo tofauti na hapo ni disaster, Sisi darasa zima tulipata division one na two mmoja Tu alikuwa anatokea Arusha alipata three simply hakuwa akipenda tabu kabisa na tulipomaliza tu akatimkia ulaya huko.

Maisha ya high school ndio maisha pekee ya shule yaliyonijenga kujitegemea.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati huo mie napiga kazi napita hapo nikitokea Nyambiti...Mantare,,,nakwenda Mwampulu kisha narudi hapo napitia Masua (kwa mtoto wa Dandu) kisha huyoooo Misungwi (ukute mlikuwa mnaniamkia mkinikuta njiani
 
Back
Top Bottom