Tukumbushane zile "SCHOOL MOTTOS"

Tukumbushane zile "SCHOOL MOTTOS"

Lenga mbali,
Sumve high school

Sent using Jamii Forums mobile app
Aim High....
Sketi/vimini za dark blue kama polisi.
Was the best unpopular high school leading in general studies high performance kipindi hichooooo...
Viva mama Celestine ( the headmistress),mke wa aliekuwa naibu waziri wa elimu Bujiku Sakila.
Bado inafanya vema hiyo university ya kijiji?
Never forget bweni la Mama Maria Nyerere...

Hahhahahaha yaan umenikumbusha mbali sana, badae mama Celestine alihama akaja madam mmoja tokea mwanza secondary Maria kaguo.
Mpk sisi tunamaliza 2008 shule ilikuwa inafanya vzr.
Yule mpishi mama Yunge alishafariki, mwl Noni mashaka pia aliekuwa anakaa pale karibu na bomba la walim nae alishafariki. Babu mpishi alistaafu.
Bweni la mama maria Nyerere room namba tatu hahahaha.

Mwl shija siku hz ni DEO huko kigoma hahahaa

Way back 2003....we did marvelous kwenye GS na Economics!
Duh apumzike salama Mama Yunge namkumbuka..babu mpishi pia.
Headmistress alioko sasa alikuwa classmate alisoma hapo hapo nilienda 2017.
Shule ilikuwa kama chuo kikuu, Uhuru kama wote, hakuna ratiba maalumu, mnajifundisha wenyewe mkisubiri mtihani ila matokeo inaongoza ...yaani zaidi ya miujiza...hakuna umeme, hakuna maji, unasafiri kwenda popote ukijisikia aaahhh!
Sote ni ndugu ilikuwa.
Hatukuwai kuwa na mwalimu wa Maths kwa more than one and a half a year, mwalimu kaja mwezi December wakati tunasiku chache kufanya mock na miezi michache kufanya national exam..mwalimu mmarekani ile English yake akislang unaona anakuyeyushia material uliyoimeza toka tuisheni ya urassa perfect vision, akawa anabaki darasni alone, anatufuata porini kutubembeleza atufundishe, raia wanamwambia atununulie chocolate ndio pindi liende, mzungu hana hiyana ananunua chocolate, biscuit tunakula na hatumsikilizi maana Sisi tulishacover syllabus...mama Mkuu bembeleza Sana wanae tufundishwe, mabinti wagumu hatari....
Aaaaahhh.....Sumve kweli was lenga mbali
Leo sote tunazidi kudumisha undugu huku kitaa.
Viva Maria Nyerere dormitory kijiwe cha mapambano na mikakati ya kugomea ugali, faraja pekee ilikuwa kula wali daily na kupewa Uhuru wa kwenda mjini ili mradi wenzio umewaaga na ukirudi uje na material from other schools au tuition uje uwakatie pindi wana.
Kulikuwa na specialization of everything kama michwa vile.
Lenga mbali our motto was lenga mbali kweli kweli...tuko mbali hata sasa.

Hahahaha dah 2003 kitambo sana.
Sisi wakati tunafika shule hali tuliikuta km ulivyosimulia ila wakati tuko form five mwishoni ndio tukapata zali la kuwekewa umeme na maji aiseee ilikuwa km ndoto.
Ila changamoto ya walimu ilikuwa km kawaida hd tunamaliza.
Misele sasa ilikuwa yaan ni ww tu na miguu yako, enzi hizo madam wa dom alikuwa flora mfupi hlf mnene basi km hutaki kwenda prepal unapanda dekani unalala unanyooka tu akija wala hakuoni.
Mwaka wetu matokeo yalikuwa na div 4 moja tu tena ilitoka HGE.
Kweli those days mambo ilikuwa fire

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aim High....
Sketi/vimini za dark blue kama polisi.
Was the best unpopular high school leading in general studies high performance kipindi hichooooo...
Viva mama Celestine ( the headmistress),mke wa aliekuwa naibu waziri wa elimu Bujiku Sakila.
Bado inafanya vema hiyo university ya kijiji?
Never forget bweni la Mama Maria Nyerere...

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahhahaah unaikumbuka mtoka mbali??? Yale magari ya enzi hizo?
Sehem za network ya simu sasa lkn pmj na hizo changamoto Sumve hakukuwaga na uonevu kbs, wanafunzi wote tulikuwa tunapendana. Ule ubabe ubabe haukuwepo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha dah 2003 kitambo sana.
Sisi wakati tunafika shule hali tuliikuta km ulivyosimulia ila wakati tuko form five mwishoni ndio tukapata zali la kuwekewa umeme na maji aiseee ilikuwa km ndoto.
Ila changamoto ya walimu ilikuwa km kawaida hd tunamaliza.
Misele sasa ilikuwa yaan ni ww tu na miguu yako, enzi hizo madam wa dom alikuwa flora mfupi hlf mnene basi km hutaki kwenda prepal unapanda dekani unalala unanyooka tu akija wala hakuoni.
Mwaka wetu matokeo yalikuwa na div 4 moja tu tena ilitoka HGE.
Kweli those days mambo ilikuwa fire

Sent using Jamii Forums mobile app
Chuo cha mafunzo kile, tuliwahi kugoma serikali itihamishe au ituambie kile ni kituo cha mtihani au shule? Shule haina mwalimu wala ratiba ya darasa hakuna, umeme, maji ni anasa, Mzee Malecela alikuja ongea nasi kwa hekima Sana ndio wakawa wanatupoza kwa wali daily, plus Uhuru wa kufanya lolote lile hakuna kufuatiliwa, Mkuu wa shule akawa anasema huwa anapewa wanafunzi wenye division one pekee kuja hapo tofauti na hapo ni disaster, Sisi darasa zima tulipata division one na two mmoja Tu alikuwa anatokea Arusha alipata three simply hakuwa akipenda tabu kabisa na tulipomaliza tu akatimkia ulaya huko.

Maisha ya high school ndio maisha pekee ya shule yaliyonijenga kujitegemea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahhahaah unaikumbuka mtoka mbali??? Yale magari ya enzi hizo?
Sehem za network ya simu sasa lkn pmj na hizo changamoto Sumve hakukuwaga na uonevu kbs, wanafunzi wote tulikuwa tunapendana. Ule ubabe ubabe haukuwepo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Koromijeee..
Unapita kwao bashite ndio ufike town...hatari Sana.
Enzi hizo jamaa ni kondakta wetu now Mkuu wa mkoa aiseeee, tunatoka far.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chuo cha mafunzo kile, tuliwahi kugoma serikali itihamishe au ituambie kile ni kituo cha mtihani au shule? Shule haina mwalimu wala ratiba ya darasa hakuna, umeme, maji ni anasa, Mzee Malecela alikuja ongea nasi kwa hekima Sana ndio wakawa wanatupoza kwa wali daily, plus Uhuru wa kufanya lolote lile hakuna kufuatiliwa, Mkuu wa shule akawa anasema huwa anapewa wanafunzi wenye division one pekee kuja hapo tofauti na hapo ni disaster, Sisi darasa zima tulipata division one na two mmoja Tu alikuwa anatokea Arusha alipata three simply hakuwa akipenda tabu kabisa na tulipomaliza tu akatimkia ulaya huko.

Maisha ya high school ndio maisha pekee ya shule yaliyonijenga kujitegemea.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wenyewe tulifanya mgomo yule mkuu aliekuwepo akahamishwa akapelekwa mtwara huko kwhy hadi tunamaliza tulikuwa chini ya makamu.
Yule mama alivyokuja ndio akabweteka kbs ht kusema ashughulike kutafuta walim japo wa kukodi, hakuna!
Na yy mwenyewe ht alikuwa hakai shule, daily yuko mwanza. Wananzengo wakaona huu ni utani sasa ndio kukinukisha.

Sasa hivi my classmate anafanya vizuri, uzio umejengwa, walimu wapo, mazingira conducive, ila performance haiifikii ile yetu tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Koromijeee..
Unapita kwao bashite ndio ufike town...hatari Sana.
Enzi hizo jamaa ni kondakta wetu now Mkuu wa mkoa aiseeee, tunatoka far.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahah haki ya kweli maisha hayana formula aiseee. Tena ilikuwa ukifika mwanza saa nane unakuta gari ishasepa hadi kesho hahahhaha.
Enzi hizo mi natokea Shinyanga ndio Mohamed trans imeanza anza na nauli yake iko juu basi nikawa nakomaa nipande hilo ili nifike mwanza mapema maana hata lami ilikuwa hamna kipindi hicho.
Walah na mie ni mhenga kumbe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom