Deadbody
JF-Expert Member
- May 30, 2015
- 4,274
- 6,632
Bado kidogo tungefanana,sisi yetu ni AIM FAR
Bado kidogo tungefanana,sisi yetu ni AIM FAR
Umesoma usongwe nini ,,Kila shule, zile za msingi na sekondari zina kaulimbiu zake maarufu kama ''school motto'' zilikuwa zinabeba ujumbe na kila mwanafunzi alikuwa lazima azijue.
Hebu tukumbushane, taja school motto yako ya shule ya msingi na sekondari,
Mi naanza..
Shule ya msingi, motto: MAISHA NI MAPAMBANO.
Shule ya sekondari ,motto: STRUGGLE FOR SUCCESS
haya wadau twende tutiririke....
Sent using Jamii Forums mobile app
Na pia usongwe secondary mbeyaSTRUGGLE FOR SUCCESS -KIBAHA SEC KSS 1993
Mazengooo...shule yetu twaipenda sana, twaitakia baraka.......... (hapo bendera ya bweni lililoshinda usafi inapandishwa baada ya kuimba wimbo wa TaifaDuuh yaani nlikua nmesaau kabisaa huu motto..wimbo wa shule tuliimba "elimuuu ni mwangaaaa!!"
Sent using Jamii Forums mobile app
Determination is our motto!O-level........BIDII HUSHINDA YOTE
Yes yes
"School motto" ya shule yangu ilikuwa ya kishamba mpaka naona aibu kuiandika hapa😀😀😀Kila shule, zile za msingi na sekondari zina kaulimbiu zake maarufu kama ''school motto'' zilikuwa zinabeba ujumbe na kila mwanafunzi alikuwa lazima azijue.
Hebu tukumbushane, taja school motto yako ya shule ya msingi na sekondari,
Mi naanza..
Shule ya msingi, motto: MAISHA NI MAPAMBANO.
Shule ya sekondari ,motto: STRUGGLE FOR SUCCESS
haya wadau twende tutiririke....
Sent using Jamii Forums mobile app


