Tukumbushane: Wimbo bora wenye jina la kike...

Hiba..............DDC MLIMANI PARK

hiba eeeh Hiba imekuwaje mpenzi mbona umebadilika .(oh my god )

I love u my husband
 
V.I.P Jery Nashon Dudumizi& Vijana Jazz

"Ahera hakuendeki,Dunia haikaliki nimepatwa na mfadhaikooo,ahera hakuendeki Dunia haikaliki nimepatwa na mfadhaikoooo"

"Si maji wala Soda vitakavyozima kiu yangu,ila ni wewe Viaipiii(VIP),si maji wala Soda vitakavyozima kiu yanguuu,iila ni weweeeee,viaipiiii"

"Binadamu hanunuliwi kama nguoo viaipii,ungekuwa Dukani ningekununua nikuweke ndani,lakini nikikununua bila mapenzi yako utanitorokaa"

"Nina nia ya kuwasha moto wa mapenzi kwakooo,kwa uzuri ulionao viaipii,natamani penzi letu liwe penzi la ndotoni,tafadhali nakusihi viaipii,nakuomba uwe wangu viaipii,ili niondokane na ndoto za mapenzi"

"Binadamu hanunuliwi kama nguooo viaipii,ungekuwa Dukani ningekununua nikuweke ndani,lakini nikikununua bila mapenzi yako utanitorokaaa"

"Ukinikubali viaipii,mimi niko tayari,kubadili dini,ukinikubaliii viaipii mimi niko tayariiii,kubadili dini,hata kama wazazi wangu hawapendi,nitafanyafanya mipando niwe na wewe smbamba(sambamba) nitafanyafanya mipango niwe nawee sambambaaa"

"Ukinikubalii viaipii,nitatoa mahali ya mbuzi saba,ukinikubalii viaipi,nitatoa mahaliii ya mbuzi saba......"
 
Jacky-Nico Zengekala

Mtoto Jackiee,mtoto wa Nirobi
Ingawa ni mara ya kwanza mimi nawe Jackiee
Tulipokutana palee Kampala kwenda Nairobi
Tulifurahiana sana kama tuliishi mwaka
Tabia yako njema kweli sitoisahau.

Mtotoo Jackie,mtoto wa mama Jackie wa mapendo
Japokuwa tuliachana stendi ukielekea Nairobi nyumbani eeh
Lakini tutakutana,nitakuja kutembelea,nawe karibu nyumbani eeh
Ooh Jackie yeyeeeh

Mtoto wa mama Jackie wa mapendo
Japokuwa tuliachana stendi,ukielekea Nairobi nyumbani eeh
LAkini tutakutana,nitakuja kutembelea,nawe karibu nyumbani eeh
Ooh Jackie yeyeeeh

Kiitikio:

Mtoto Jackie eeh,mpenzi wangu najaribu kukusahau lakini nashindwa
Hasa ni ile ndoto inayonisumbua naota unaniletea kifuko cha DHAMBARAU

Nimejaribu kukusahau lakini nashindwa,hasa ni kwa ile ndoto inayonisumbua eeh

Mtoto Jackie eeh,mpenzi wangu najaribu kukusahau,lakini nashindwa,hasa ni kwa ile ndoto inayonisumbua naota unaniletea kifuko cha DHAMBARAU

Sauti yako nyororo inaniua sana na mwendo wako wa maringo unanikondesha mamaaah,ayoleli mwanamama nakuwinda sana Jackie yeyeyeeeh mwanamamaah aeaeeh

Mvumilivu hula mbivu,Jacki yeyeeeh,mvumilivu hula mbivu Jackie yeyeeeh
Jaribu kuvumilia yeeh tutaonana mamaah kama sio Kampala ni Tanzania mamaa
Jackie yeyeyeeh mwanamama aeaeeh

Jackie yeyeyeeh nitakuja Nairobi
Nitakuja Nairobi eeh nikuone mamaah
Jackie yeyeyeeh nitakuja Nairobi
Tutafurahi pamoja mi na wewe mama yeeh
Jackie yeyeyeeh nitakuja Nairobi
Jackie yeyeyeeh Maneno sema na yeye
Jackie yeyeyeeh nitakuja Nairobi
__________________
 
v.i.p jery nashon dudumizi& vijana jazz

"ahera hakuendeki,dunia haikaliki nimepatwa na mfadhaikooo,ahera hakuendeki dunia haikaliki nimepatwa na mfadhaikoooo"

"si maji wala soda vitakavyozima kiu yangu,ila ni wewe viaipiii(vip),si maji wala soda vitakavyozima kiu yanguuu,iila ni weweeeee,viaipiiii"

"binadamu hanunuliwi kama nguoo viaipii,ungekuwa dukani ningekununua nikuweke ndani,lakini nikikununua bila mapenzi yako utanitorokaa"

"nina nia ya kuwasha moto wa mapenzi kwakooo,kwa uzuri ulionao viaipii,natamani penzi letu liwe penzi la ndotoni,tafadhali nakusihi viaipii,nakuomba uwe wangu viaipii,ili niondokane na ndoto za mapenzi"

"binadamu hanunuliwi kama nguooo viaipii,ungekuwa dukani ningekununua nikuweke ndani,lakini nikikununua bila mapenzi yako utanitorokaaa"

"ukinikubali viaipii,mimi niko tayari,kubadili dini,ukinikubaliii viaipii mimi niko tayariiii,kubadili dini,hata kama wazazi wangu hawapendi,nitafanyafanya mipando niwe na wewe smbamba(sambamba) nitafanyafanya mipango niwe nawee sambambaaa"

"binadamu hanunuliwi kama nguooo viaipii,ungekuwa dukani ningekununua nikuweke ndani,lakini nikikununua bila mapenzi yako utanitorokaaa"

"ukinikubalii viaipii,nitatoa mahali ya mbuzi saba,ukinikubalii viaipi,nitatoa mahaliii ya mbuzi saba......"

aaah thanks balatanda umenikumbusha rafiki yangu mmoja wakati nasoma chuo alikuwa anaupenda sana huu wimbo alikuwa akiteseka na penzi la mmoja :d
 
hahahaha asante sana kwa kunihabarisha ndo hapo nilkuwa sielewi..

Mkulu,

Ulikua sawa kwenye ule ubeti wote,ni wanyimbo moja ya Cheusi mangala.umenikumbusha mambo mengi sana wewe.....!

Cheusi Mangala eeh Mangala....
Usibadili mwende huo mangala... ee mangala
 
V.I.P Jery Nashon Dudumizi& Vijana Jazz

"Ahera hakuendeki,Dunia haikaliki nimepatwa na mfadhaikooo,ahera hakuendeki Dunia haikaliki nimepatwa na mfadhaikoooo"

"Si maji wala Soda vitakavyozima kiu yangu,ila ni wewe Viaipiii(VIP),si maji wala Soda vitakavyozima kiu yanguuu,iila ni weweeeee,viaipiiii"

"Ahera hakuendeki,Dunia haikaliki nimepatwa na mfadhaikooo,ahera hakuendeki Dunia haikaliki nimepatwa na mfadhaikoooo"

"Si maji wala Soda vitakavyozima kiu yangu,ila ni wewe Viaipiii(VIP),si maji wala Soda vitakavyozima kiu yanguuu,iila ni weweeeee,viaipiiii"

"Binadamu hanunuliwi kama nguoo viaipii,ungekuwa Dukani ningekununua nikuweke ndani,lakini nikikununua bila mapenzi yako utanitorokaa"

"Nina nia ya kuwasha moto wa mapenzi kwakooo,kwa uzuri ulionao viaipii,natamani penzi letu liwe penzi la ndotoni,tafadhali nakusihi viaipii,nakuomba uwe wangu viaipii,ili niondokane na ndoto za mapenzi"

"Binadamu hanunuliwi kama nguooo viaipii,ungekuwa Dukani ningekununua nikuweke ndani,lakini nikikununua bila mapenzi yako utanitorokaaa"

"Ukinikubali viaipii,mimi niko tayari,kubadili dini,ukinikubaliii viaipii mimi niko tayariiii,kubadili dini,hata kama wazazi wangu hawapendi,nitafanyafanya mipando niwe na wewe smbamba(sambamba) nitafanyafanya mipango niwe nawee sambambaaa"

"Binadamu hanunuliwi kama nguooo viaipii,ungekuwa Dukani ningekununua nikuweke ndani,lakini nikikununua bila mapenzi yako utanitorokaaa"

"Ukinikubalii viaipii,nitatoa mahali ya mbuzi saba,ukinikubalii viaipi,nitatoa mahaliii ya mbuzi saba......"

Respect sana Balanta......unatisha mazeee!....khaaah!
 
Kwa vile ni nyimbo za kiswahili si vibaya pia tukaikumbuka Hidaya ya Pepe Kalle & Empire Bakuba
 
Oooh Georgina

Siku ulioondoka uliniacha nalia na machozi, umekwenda kuishi mbali nami, Georgina wa mamaaa. Sipati usingizi nikikumbuka, tulivyoishi mimi nawe Georgina aaah, ohh Georgina. Ohh Georginaaaa.) x 2

Umeondoka Georgina, umeniachia masikitiko, Georgina Georgina hooo x 2

Nauliza Georgina oooh, ni lini utarudi, oooh, uniondoe wasiwasi oohh,
Georgina wa mamaaa, umeondoka Georgina, umeniachia masikitiko, Georgina Georgina hooo x 2

tataraa tataraaa tararaaaa

Georgina mahali gani ulipo, Georgina uko mbali mamaa x 2
Georgina (nawaza nawaza), Georgina (nakonda kwa mawazo) Georgina (uko mbali mamaa, Georgina (nitakuja kufa) Ohh Georgina mama

Umeondoka Georgina, umeniachia masikitiko, Georgina Georgina hooo x 2

Nauliza Georgina oooh, ni lini utarudi, oooh, uniondoe wasiwasi oohh,
Georgina wa mamaaa, umeondoka Georgina, umeniachia masikitiko, Georgina Georgina hooo x 2

Georgina Georgina ohhhh x 5
 
Jacky-Nico Zengekala

Mtoto Jackiee,mtoto wa Nirobi
Ingawa ni mara ya kwanza mimi nawe Jackiee
Tulipokutana palee Kampala kwenda Nairobi
Tulifurahiana sana kama tuliishi mwaka
Tabia yako njema kweli sitoisahau.

Mtotoo Jackie,mtoto wa mama Jackie wa mapendo
Japokuwa tuliachana stendi ukielekea Nairobi nyumbani eeh
Lakini tutakutana,nitakuja kutembelea,nawe karibu nyumbani eeh
Ooh Jackie yeyeeeh

Mtoto wa mama Jackie wa mapendo
Japokuwa tuliachana stendi,ukielekea Nairobi nyumbani eeh
LAkini tutakutana,nitakuja kutembelea,nawe karibu nyumbani eeh
Ooh Jackie yeyeeeh

Kiitikio:

Mtoto Jackie eeh,mpenzi wangu najaribu kukusahau lakini nashindwa
Hasa ni ile ndoto inayonisumbua naota unaniletea kifuko cha DHAMBARAU

Nimejaribu kukusahau lakini nashindwa,hasa ni kwa ile ndoto inayonisumbua eeh

Mtoto Jackie eeh,mpenzi wangu najaribu kukusahau lakini nashindwa
Hasa ni ile ndoto inayonisumbua naota unaniletea kifuko cha DHAMBARAU

Nimejaribu kukusahau lakini nashindwa,hasa ni kwa ile ndoto inayonisumbua eeh

Mtoto Jackie eeh,mpenzi wangu najaribu kukusahau,lakini nashindwa,hasa ni kwa ile ndoto inayonisumbua naota unaniletea kifuko cha DHAMBARAU

Sauti yako nyororo inaniua sana na mwendo wako wa maringo unanikondesha mamaaah,ayoleli mwanamama nakuwinda sana Jackie yeyeyeeeh mwanamamaah aeaeeh

Mtoto Jackie eeh,mpenzi wangu najaribu kukusahau,lakini nashindwa,hasa ni kwa ile ndoto inayonisumbua naota unaniletea kifuko cha DHAMBARAU

Mvumilivu hula mbivu,Jacki yeyeeeh,mvumilivu hula mbivu Jackie yeyeeeh
Jaribu kuvumilia yeeh tutaonana mamaah kama sio Kampala ni Tanzania mamaa
Jackie yeyeyeeh mwanamama aeaeeh

Mtoto Jackie eeh,mpenzi wangu najaribu kukusahau,lakini nashindwa,hasa ni kwa ile ndoto inayonisumbua naota unaniletea kifuko cha DHAMBARAU

Jackie yeyeyeeh nitakuja Nairobi
Nitakuja Nairobi eeh nikuone mamaah
Jackie yeyeyeeh nitakuja Nairobi
Tutafurahi pamoja mi na wewe mama yeeh
Jackie yeyeyeeh nitakuja Nairobi
Jackie yeyeyeeh Maneno sema na yeye
Jackie yeyeyeeh nitakuja Nairobi
__________________

heee mpendwa na wee umo!!!!!
 
Hahaaaa,nami sivumi lakini nimo aisee...Hapa mimi ndo mahali pangu

ukipoteaga najua pa kukupata...huku huku......good stuff man!!! naendelea kuimba hapa
Jackie yoooooyooo ntakuja Nairobi....
 
Orch marguis Intern....Kalubandika

Kama wewe ungenipenda ya nini kunidanganya bwana wewe ,kujibandika madaraka siyo yako bwana weeeeeeeeeeeeeeeeeewe

Nimesikia tetesi ...
 
Tuzikumbuke pia nyimbo hizi:

Konjesta-Sikinde
Edita-Sikinde
Mama Chichi-Selemani Mbwembwe & Vijana Jazz
Theresa-Vijana Jazz
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom