Tukumbushane: Wimbo bora wenye jina la kike...

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,478
39,996
Zimetungwa nyimbo nyingi sana katika Kiswahili ambazo zimepewa majina ya kike. Karibu zote zinahusu mapenzi, manung'uniko ya mapenzi, furaha n.k Nyimbo hizo zimebakia katika mioyo ya watu wengi na kwa hakika vizazi vinakumbuka mengi wanaposikia nyimbo hizo. Lakini ni ipi tunaweza kusema ndiyo wimbo wenye chati ya juu kabisa katika nyimbo zenye majina ya kike?

Lakini kwanza, tukumbushane baadhi ya nyimbo hizo. Bendi na waimbaji mnawajua.. (Bluu unaweza kupakua)

Georgina -
Carolina - siyo hii ya ndombolo!
Clara -
Christina Moshi

Mayasa
Zuwena
Cinderella
Mwanameka
Maria (i love u)
Neema - huu yawezekana ni kati ya tatu bora
Monica
Sauda (M.V Mapenzi)
Tuma
Vicky
Solemba
Asha Mwana Seif
Hiba
Gloria
Siwema
Pamela
Aza
 
Maria ( i love you)

.........kwa kweli sasa nimenasa,sinaujanja eeh!
.........Mapenzi sawa na bahari,haina mwisho......
 
Zimetungwa nyimbo nyingi sana katika Kiswahili ambazo zimepewa majina ya kike. Karibu zote zinahusu mapenzi, manung'uniko ya mapenzi, furaha n.k Nyimbo hizo zimebakia katika mioyo ya watu wengi na kwa hakika vizazi vinakumbuka mengi wanaposikia nyimbo hizo. Lakini ni ipi tunaweza kusema ndiyo wimbo wenye chati ya juu kabisa katika nyimbo zenye majina ya kike?

Lakini kwanza, tukumbushane baadhi ya nyimbo hizo. Bendi na waimbaji mnawajua..

Georgina -
Carolina - siyo hii ya ndombolo!
Clara
Christina
Mayasa
Zuwena
Cinderella
Mwanameka
Maria (i love u)..
Christina Moshi sikiliza melezo yangu katika wimbo mamaaa,
Naelewa Penzi li bado ni changa, usije tena ukabadilika baadae,
Tulipokubaliana kwa hiari tulikuwa wawili, watatu Mungu wetu *2

........Pendekezo langu kwako kwako uwe kama benki,
........benki mahala pa usalama
........Akiba yangu ya mapenzi nakupa wewe, Moshi ee mamaaaa!
Uwezo sina ningekununulia gari ,bali matatizo madogo hayatonishinda,
Nitajipigapiga ili niyatatue, sababu jungu halikosi ukoko......

Hii nyimbo ilinipagawisha sana wakati wake...
 
e........sophia,I love u mwana mamaaaaaa
Zimetungwa nyimbo nyingi sana katika Kiswahili ambazo zimepewa majina ya kike. Karibu zote zinahusu mapenzi, manung'uniko ya mapenzi, furaha n.k Nyimbo hizo zimebakia katika mioyo ya watu wengi na kwa hakika vizazi vinakumbuka mengi wanaposikia nyimbo hizo. Lakini ni ipi tunaweza kusema ndiyo wimbo wenye chati ya juu kabisa katika nyimbo zenye majina ya kike?

Lakini kwanza, tukumbushane baadhi ya nyimbo hizo. Bendi na waimbaji mnawajua..

Georgina -
Carolina - siyo hii ya ndombolo!
Clara
Christina
Mayasa
Zuwena
Cinderella
Mwanameka
Maria (i love u)..
 
naona bora niende zambia nikamtafute Monicah,nimpeleke dar es salaam apambane na kess yake,monicah eeeeeeeh huko ewapi eeeeeeeeeeeeeh

Ooooo Mayasaaa, mama Mayasaa
Ooooo Mayasaaa, uzuri ni wa kuzaliwa naooo!
 
Kuna wimbo mmoja ule sijui unaiitwa Neema /mwingine Sauda Mie Na mix tu hapa nyie mtachambua ;)

Usipate taaabu Neema kwani uliyoyafanya si mageni hapa Duniani
Penzi upepo ..

Mwingine sijui kama ndo unaitwa Sauda ..

Duniani kuna mengi sawa sawa na bahari kuna papa na nyangumi tena wale wa hatari hawapendi kuiona meli yetu bahari
 
Mkulu hapa umechanganya nyimbo mbili..........Marie (i love u,na Cheusi Mangala)
 
naona bora niende zambia nikamtafute Monicah,nimpeleke dar es salaam apambane na kess yake,monicah eeeeeeeh huko ewapi eeeeeeeeeeeeeh

......hahaaaaaa hiki kibao bwana nanikumbusha mbali sana Pearl!

MMM.....Kiko kingine cha Msondo....baba ya Muziki bana......!

TUMA.......Nimesimama nikingoja kama vile tulivyopanga....tukutane Dar es Salaam......wazazi wakakuone.....Tuma ehe Tumaaaaa....ameshaolewa......! Usinione nimekonda....eeeeh Tuma, hakuna mwingine mama, ila ni wewe tuuuuu!......endelea ku R.I.P TX Moshi!
 
Zimetungwa nyimbo nyingi sana katika Kiswahili ambazo zimepewa majina ya kike. Karibu zote zinahusu mapenzi, manung'uniko ya mapenzi, furaha n.k Nyimbo hizo zimebakia katika mioyo ya watu wengi na kwa hakika vizazi vinakumbuka mengi wanaposikia nyimbo hizo. Lakini ni ipi tunaweza kusema ndiyo wimbo wenye chati ya juu kabisa katika nyimbo zenye majina ya kike?

Lakini kwanza, tukumbushane baadhi ya nyimbo hizo. Bendi na waimbaji mnawajua..

Georgina -
Carolina - siyo hii ya ndombolo!
Clara
Christina
Mayasa
Zuwena
Cinderella
Mwanameka
Maria (i love u)..

SOLEMBA - NICO ZENGEKALA (RIP)

Solemba, Solembaa aah,................

Nilichomwa na jua toka asubuhi, mpaka saa nane Solemba, sababu ya kukungoja wewe, kumbe ulikuwa ndani solemba unachungulia dirishani...

Nimeshituka Solemba...........

(Na ndipo tulipopata nahau 'kaachwa solemba')
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom