Dah enzi hizo maeneo ya maua bar ndo kama sinza!
Ha ha ha kitu cha Maua bar,zero bar,vibar kibao vimepangana mango wa mishikaki na figo ni hatareeeee
Dah enzi hizo maeneo ya maua bar ndo kama sinza!
Ha ha ha kweli ukipita mitaa ya Bhachu kwenye kuta unakuta maandishi "FIFI ana ukimwi" au "Fifi kapita"...yani wakati huo Ukimwi ni balaa mtu akiwa nao!ITV tunafunga safari kuangalizia pale Community Centre kwenye sanamu ya Nyerere opp. Na Ofis za CCM mkoa!mahali ambapo TANU na ANC ya Mtemvu iliibuka!cinema za ukimwi na kanda Bongoman!Shekhe Ilunga alikuwa Basketballer mzuri sana..anapiga dua kabla ya mechi kuanza,japo alikuwa mtemi sana kwenye Court ya Basketbol Uhazili na pale Chuo cha Ualimu Tbra.....mbunge alikuwa Aboubakari Mgumia...Meya alikuwa Mzee Mpepo Diwani wa Ng'ambo jiran na mtaa wa makaranga!Jamaa wanaosoma chuo Madrasa walikuwa wanatishia kusoma Albadil....
Dahhh Kumbe Steve alifariki!!! R.I.P Bro
Nani anamkumbuka power chuma?
Kuna mtu anaijua REMEMBER MEMBER Uyui sec?
Huyu Sheikh Ilunga alikua mchezaji mzuri wa basket, Kuna mtu anakumbuka?
R.I.P Major.
R.I.P Mzee Kassimu muuza kahawa wa diamond.
R.I.P Issa Kibira.
Nani anamkumbuka Chande mwehu aka Chui. Ukimwita chui umekwisha.
Nani anamkumbuka Profesa? (epaina bisso) anakaa kama unaenda kiloleni alikua mtata saana mwanamke kama ana mimba akipanda basi lake ajue nauli analipa mara mbili yaani yeye na mtoto aliye tumboni haa haaa haaa.
Mnamkumbuka Cast wa mwanaisungu?
Je Patel head master Uyui Sec?
Haya wadau leteni story za mboka....
Ochard ya WARSO, Kipalapala, isukamahela,Kaze Hill,kwihara,national Housing, mwl makweta,kimalamashwi,mikomangwa,kanyabwoya,nkumba,kongela,Sambala,Mageni(Mamba), Lujuo,Kanijo,LUENA, Shendu yuko Dodoma,Pambe,Masele,Kansimba,Madafu,mwandu,Chambo,Matata,Mgumba,Rohobadi,Ntonge,Dr. Malya,Matumbo,Nyanda,Katendele,Mrs. MIRISHO,.......................................................................
Major alikua best yangu sana pamoja na mansour marjebi,menchi,adam fundikira ulikua hutukosi uhazili court ya basketbalk,nimesoma uyui frm 5 na 6
Mkuu unamzungumzia major yule mwembamba alikuwa rafiki wa JUMA' NGE', mansouri kaka wa mahsen wale waarabu wa bachu? menchi ngonyani? Hee Tabora jamani utafikiri kuna chuo cha michezo kila kitu kilikua hot. Wadada wa uhazili, mabinti wa kota za NBC, walitingisha haswa.
Hahaaa wewe mtata kumbe unawajua wote hao.....ilikia group yangu hiyo mimi nlisoma uyui A level major alikua anakaa hpo nyuma y ukumbi w cinema....n mansour ndio huyo wa bachu mzee wke alikuaa almaarufu sana mzee mzee marjebi....enzi hizo uhazili,ttc ndio sehemu y kuuza sura
Hahaaa wewe mtata kumbe unawajua wote hao.....ilikia group yangu hiyo mimi nlisoma uyui A level major alikua anakaa hpo nyuma y ukumbi w cinema....n mansour ndio huyo wa bachu mzee wke alikuaa almaarufu sana mzee mzee marjebi....enzi hizo uhazili,ttc ndio sehemu y kuuza sura
Uhazili walikuwa wanateja mji kweli, na wanafunzi wa uyui walikuwa watata kweli mabinti wa o level wanapiga mambo kama wa chuo, ila chuo cha ualimu walikuwa hawa sikiki kabisa, cast nae alimega kweli mademu . r.i.p. geto la uyui pale kona la kina JUMA MSONGA nalo liliharibu sana mabinti aisee, watoto wa kishua wanazuga kwenda kanisani wanapishana geto, mhh kufaulu shule kwa mabinti pale ni shiida kweli maana vijana wanaimbisha balaa halafu ilikuwa BURE tu hakuna kitu unahonga.
Hahaaa kweli wewe w mboka kipindi hicho kongoa mzigo haikua gharama zaidi y kuuza sura 2....mimi nlikua nakaa cheo kule karibia n nyumba z nyuzi
kwenye vichaa hapo umemsahau makamba jeki bana!........jamaa mmoja alikua kibarua maarufu tunamuita fulu saba......anapeleka pwani huyoooo!!!!nakumbuka nikiwa 'kinda' tu mwanajeshi mmoja aliuawa majaruba ya isevya kutokea stesheni pale.......basi 'wajeda' wakaenda zika mtu wao kimya kimya halafu wakaingia mtaani sasa.......weee....wiki nzima msako,waliokuwa watuhumiwa wa hata udokozi miaka ile walikufa vibaya kwa singe na vipigo vya washkaji,vilio vikatawala mji mzima na amani ya hata kulala mlango wazi ikarejea!
FIFI alikuwa anatuhumiwa kuwaambukiza ukimwi dada zetu kwa makusudi,one day alionekana mitaa ya kwetu na dada mmoja wa pale pale mtaani kwetu anaitwa Tatu Mazegembe........alikuwa na makalio makubwa huyooo wacha.........basi wacha tumtoe nduki na mawe huku tunamwambia yule dada 'unaenda kufa wewe!!!'......aaaaa mboka matata wee.....mji wangu wa utotoni uliokataa kukua!