acha uongo wewe tabora ya mwaka 90 wanayoiongelea wadau hapa si tabora ya leo mkubwa shaishi hapo enzi hizo na nikapata bahati ya kwenda kikazi hapo mwaka jana, sehemu anazosema kama maua bar leo wanapaita zero, mwanaisungu bado unapigwa mziki ila panajina jipya, tabora ya leo inamitaa mipya ipuli, mwinyi kulikuwa mapoli so ukisema tabora haijabadilika nakuona waajabu, sehemu nilyoenda nakukuta imebadilika ni rufita club na tabora hotel kwani enzi zile tumeenda sana na mzee tukawa tunacheza table tenis, dast, tenis na michezo kibao ila leo imebaki magofu tu so tabora ipo bwana na wenyeji wake.