D___________Loy
Senior Member
- Jan 21, 2020
- 190
- 205
Asante sana, nami alinifundisha Chemistry hapo Milambo miaka hiyo ya early 2000s. Amefariki mwaka jana, mimi ni first born wake.
Pole sana mkuu
Asante sana, nami alinifundisha Chemistry hapo Milambo miaka hiyo ya early 2000s. Amefariki mwaka jana, mimi ni first born wake.
Mkuu hapo umetaja nyumbani kabisa humo UHAZILI, yaani ile kota namba 5B inaangaliana na POLICE STATION enzi hizo wakati ana mwagiwa mafuta Headmaster wa Milambo Msemakweli alifuatwa humo ndani(Uhazili) na vijana kwa kuwalisha vyakula vyenye wadudu(funza)Simbamwene tulikuwa tunaenda kuangua zambalau na embe boribo juu ya makaburi...vp umekuwa mji?ha ha ha ha ha ha umenikumbusha Mwajuma Ringa?ivi kwanini Mboka Manyema vichaa wengi?...dah Hamis Mambwa aliogopwaje?Diamond near by TMP uwanja wa Chipukizi?ukumbi wa Disco hapo Mwanaisungu geti la kuingia Uhazili...video tunangalizia Maua Bar Opposite na Central Police
Maika ya father malio mgurunde, the late..MBOKA YA MIAKA HIYO HUWEZI ONA MBWA STATION KAMA HAKUNA TREN YA ABILIA, WALIKUWA WANAJUA RATIBA ILI WAPATE MISOSI