muhhidinramadhan
Senior Member
- Mar 26, 2014
- 140
- 63
Where and were, wear
Hapo shida ni matamshi kati ya piece na peace yako sawa, ila piss ni tofauti ktk kutamkika. Lile la mwanzo, stationary na stationery nalo lina tamkika sawa, ni shida.Piss, piece and peace
Hivi canine ndio jino la mwisho? Nilifikiri jino la mwisho ni molar. Is canine even a gego?Nimecheka mpaka jino -gego la mwisho (canine)limeonekana!!!.....