Tukumbushane maneno "tata" ya Lugha ya Malkia

Leo tutajifunza juu ya neno DESERT tukiangazia umuhimu wa mambo 3 ...
i) Neno lilivyoadikwa ... Spelling
ii) Matamshi ya neno ... Pronunciation
iii) Maana ya neno ... Meaning
 
[emoji837] Desert (verb) pronunciation (dizat) ..... to leave anything that depends on one's presence to either survive or exist ....

..... acha chochote ambacho chategemea uwepo wa fulani ama kuishi au kudumu kuwepo ...

Examples:
a) He completely deserted his entire family leaving them living miserably ...

.... Aliitelekeza familia yake akiwaacha wakiishi maisha ya taabu/masumbuko ...

b) This is the deserted house I once told you about it ...

.... Hii ndo nyumba ilotelekezwa ambayo nilikwambia habari yake ...
c) She's just deserted her job causing chaos in the entire office ...
.... Ameiacha kazi yake hivyo kusababisha mtafaruku katika ofisi nzima ...

[emoji837] Desert (noun) pronunciation (de-zat) ..... a barren land especially with little/no shower or vegetation ...
..... eneo la ardhi hasahasa lililo na mvua kidogo/ama halina mvua kabisa na lenye uoto kidogo; jangwa ...

Examples:
a) Tanzania is one among the countries located in the South of the Sahara Desert ...

.... Tanzania ni moja miongoni mwa nchi zilizo kusini mwa jangwa la Sahara ...

b) Life in the desert is risky due to various factors windblown sand being among them ...

.... Maisha jangwani ni hatari tokana na sababu mbalimbali miongoni mwao ikiwa kufunikwa na mchanga unaosukumwa na upepo ...

c) An oasis is a spring of fresh water rarely found in a desert ...

.... Oasis ni chemchemi ya maji baridi ambayo agharabu hupatikana jangwani ...
 
Nina shida kidogo na hizo pronunciations, kuna r pale, lazima iwe pronounced kiaina ili kuleta ladha sio kuikazia na sio kuicha kabisa inakuwa ina sound flat.
Halafu kwa kuongezea kuna dessert (dizart 'r' kwa chati )which is anything sweet eaten mostly after lunch or dinner eg. After lunch, we had ice cream for dessert.
 
Your contribution including the terminology "dessert" is very much appreciated ms spinderella ....

but as it's written in my today's article, I pinpointed on the word DESERT in terms of its:-
i) Spelling
ii) Pronunciation
iii) Meaning
 
Noted, thanx.
 
Gay ni term ya ujumla mkuu. Kila lesbian ni gay lakin si kila gay ni lesbian.

Lesbian ni gays wa kike , nao wana type zao
Sawa sawa kaka

Nilikuwa naelewa gay kwa.kiume.na lesbian wa kike
Kumbe ndio hivyo
 
Yaonesha kwa kiasi kikubwa wengi wetu hawako interested kuongeza uelewa ktk lugha hii ya kiingereza ama kurekebisha makosa (common mistakes) ambayo yamezoeleka sana
 
Hii lugha huwa haijitoshelezi sambamba na yetu (wabongo)

Chukulia mfano wa neno "KAA" na tafasiri lukuki......

Waarabu hawana hizo.....
 
Back
Top Bottom