Tukumbushane maneno "tata" ya Lugha ya Malkia

Tukumbushane maneno "tata" ya Lugha ya Malkia

riziki ni kitu kilicho chema apewacho mtu na Mwenyeenzimungu ambacho hujivunia na kuona fahari kuwa nacho....
Okay mkuu ila ongeongeza mtt wakiume n GAY
Na wakike n lesbian

Kitu kisicho riziki kuna vingi hata mtoto MUONGO kwa maana yako
 
tofauti ni nini babe wangu
[emoji837] Your .... ni kiwakilishi kimilikishi ktk nafsi ya pili ... yako, lako, chako, zako, yenu, lenu, chenu, zenu nk

...... It's a possessive pronoun used in 2nd person (singular & plural ...)

[emoji837] You are .... kiwakilishi cha nafsi ya pili (umoja & wingi) kikiwa na kiunganishi/kitenzi ...... Wewe ni, ninyi ni .... ama Una ...(tendo) .... mna ...(tendo) ....

...... A 2nd person (singular & plural) personal pronoun with a verb/conjunction .....
 
kuna baby ,babe ,baiby,baibe na bae
baiby, baibe [emoji118] hayo mawili yaweza kuwa yakitumika tu but hayako sahihi .... in short hayapo ...
bae ( slang ) ...... ina maana na matumizi sawa na baby ama babe
 
Kwa kukazia maarifa .... mtu ahusikae na uuzaji wa STATIONERIES huitwa STATIONER
 
Back
Top Bottom