TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,592
- Thread starter
- #61
always kunji likianzishwa alivuki Survey,maana wanaofia kuharibu shughuri za kibiashara katikati ya mji 😂😂😂2004/2005 tulianzishi kunji kupinga HESLB tukiongozwa na Bahati Tweve. Safari yetu ya kuelekea Ikulu kumwona Rais Mkapa kumweleza jambo letu iliishia UCLAS hatukufanikiwa kuvuka Survey...Tulipigwa na wazee wa ngunguri hatareeeee.
, hapo nilikua na laptop yangu mpyaaa hp haijamaliza ata mwezi mwizi kaiiiba na nyingine tatu za wengine
kipindi maji hakuna tunaletewa na boza ya chumvi ukienda kuoga asbh unabakiza kwenye ndoo ya kuogea jioni