Tukubaliane tu "WANAUME WENGI JF - MMU NI VICHECHE"

Haukatazwi kuongea kile unachofikiri, kama ambavyo hatuwakatazi
> Mh. Mch. Mtikila
> Mh. Lyatonga Mrema.
> Mh. Dovutwa M Dovutwa.
Waheshimiwa hawa kila ufikapo uchaguzi hua wanadai (kila mmoja wao) atakua Rais wa nchi hii ! Hakuna anaewakataza wasiseme hivyo.
Hua twawasikiliza kama tulivyokusikiliza wewe, bt wenye akili wanaelewa ulichoingia ni Mchele au Mashudu.
 
It's true ingawa wengi wanajitahidi kubisha ila ndani ya moyo wa moyo wanakubali.

Pia kuna kujazana ujinga na kudanganyana kwingi.

Cha muhimu chukua yenye faida mengine achana nayo,
kifupi ni za kuambiwa changanya na zako.
Vinginevyo misimamo yako mizuri itatoweka mmoja baada ya mwingine.
 
great!
 
We! see! Tena koma kabisa kutuchafulia sifa mi mwenzako nimejibana sana mpaka sasa ninao 39 tu.
 
Kuwa na wanawake wengi inakusadia kuwa na hekima na maarifa kama mfalme solomon.wanawake wenyewe wanawapenda alpha man.
 
muanzisha thread unaonekana wewe ni mbea wa kufuatilia mambo ya watu. kwanini lakini?
 
Usimhukumu mtu kwa maneno anayoandika kwani mtu hujifunza kwa kuona,kusikia n.k ingawaje kwenye saikolojia unaweza kujua tabia ya mtu kupitia matendo yake
 
Usimhukumu mtu kwa maneno anayoandika kwani mtu hujifunza kwa kuona,kusikia n.k ingawaje kwenye saikolojia unaweza kujua tabia ya mtu kupitia matendo yake

Maneno yana nafasi kubwa sana kuelezea tabia ya mtu..Hivo mleta mada ana ukweli fulani.....
 
Tunataka uthibitisho wa kisayansi na sio wa kinadharia lasivyo na wewe ni kicheche kwa maneno yako uliyoandika hapa kufanya ujumuisho kuwa wanaume ni viwembe.
 
Si kila kocha anao uwezo wa kucheza mpira,ila anao uwezo wa kufundisha na kuelezea kuliko hao wachezaji!
Ogopa sana hao wanaokaa kimya,yaweza kuwa ndio wachezaji wenyewe...
 
Kuanzisha thread kama hii ni uthibitisho tosha kuwa you have INFERIORITY COMPLEX....HAUJIAMINI.....inawezekana kuna kitu ulikuwa unajaribu ku-achieve na umeshindwa...afterall sijaona concrete reason kuonyesha unachokisimamia....dude you're so funny..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…