Tukubaliane tu "WANAUME WENGI JF - MMU NI VICHECHE"

Onane Nkulu kicheba, wanahangu ntobosi yalapwinto wee kanahengee tu!!
 
Tena wewe Gazeti na hofu sana nawe ukichukulia na raia wanavyo kkubali itakuwa unagonga kama nyoka.
 
Wengine wanaandika wanayoyaandika kama njia za kuondoa "stress" tu. Na ukitaka uthibitisho wa stress wewe nenda jukwaa la siasa uone jinsi watu wanavyotoleana mimacho na mitusi kwa kwenda mbele
 
Tena wewe Gazeti na hofu sana nawe ukichukulia na raia wanavyo kkubali itakuwa unagonga kama nyoka.
Mkuu huku niliko balaa yaani hutakiwi hata kusalimiana na Mwanamke
ukionekana basi adhabu yake ni viboko, halafu ukitaka kucheza mpira
lazima uvae suruali.
 
Wengine wanaandika wanayoyaandika kama njia za kuondoa "stress" tu. Na ukitaka uthibitisho wa stress wewe nenda jukwaa la siasa uone jinsi watu wanavyotoleana mimacho na mitusi kwa kwenda mbele
Hapo kwenye red uko right.
 
Usimhukumu mtu kwa maneno anayoandika kwani mtu hujifunza kwa kuona,kusikia n.k ingawaje kwenye saikolojia unaweza kujua tabia ya mtu kupitia matendo yake

Sio ktk saikoloji tu, hata Bible yasema kimtokacho mtu ndicho kiujazacho moyo wake. So mtoa mada ako corect to its extent
 
Back
Top Bottom