MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 12,695
- 31,478
Habari wana JF
Yafuatayo ni mambo ambayo lazima tukubali kutokubliana:
1. Yanga ni timu bora zaidi ya simba and vice versa;
2. CCM ni chama bora kuliko CHADEMA and vice versa;
3. Mademu wembamba ni watamu kuliko wanene;
4. Wavulana wa mikoani ni mapimbi kuliko wa Dar;
5. Uchumi wetu unakua na siyo kuporomoka;
6. Nyalandu kajiuzulu na hajafukuzwa;
7.
8.
9.
Listi inaweza kuendelea