"Ukubwa" na "Ubora" maneno yanayotumiwa vibaya na wanazi wa Simba

Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Apr 12, 2012
21,838
38,729
Hvi karibuni maneno haya yamekuwa yakitumika sana na mashabiki pamoja na baadhi ya maafisa wa vilabu vya soka Nchini.

"Timu yetu KUBWA Africa. WAKUBWA Africa tumekutana. Sisi ni miongoni mwa timu KUBWA (8) Africa," nk ....

Nini maana ya timu kubwa ?!

◉ Makombe / Mataji.
◉ Uwezo mzuri wa kiuchumi.
◉ Fan base.

Hivyo vitatu hapo juu ndivyo vigezo vinavyoipa timu UKUBWA kwa kuzingatia eneo ambalo timu ipo na historia.

Target ya mchezo wowote Duniani ni Makombe / Mataji. Hiki ndicho kigezo KIKUU kinachoipa klabu UKUBWA. Klabu inaweza isiwe na hivyo vingine (Uchumi & Fan base) lakini kama inashinda Makombe mengi kigezo hicho kinatosha kuipa klabu UKUBWA and vice versa is true.

Uwezo mzuri wa kiuchumi na Ukubwa wa Fan-base ni cement inayojenga UKUBWA wa klabu unaposhinda kombe.

Kwa maana hiyo, Simba na Yanga ni klabu KUBWA Tanzania na East Africa kwa sababu zimeshinda makombe mengi lakini sio klabu KUBWA Africa. Wote (2) wako kwenye process ya UKUAJI, hakuna klabu KUBWA Africa Nchini Tanzania kwa sasa.

𝗨𝗕𝗢𝗥𝗔 :

Ubora mara nyingi hupimwa kwa currently form, Ranks nk .. kwa wakati huo. Timu inaweza kuwa bora ndani ya muda fulani lakini isiwe kubwa katika eneo husika.

Mfano : Simba na Petro Atletico ni timu zilizofanya vizuri kwenye michuano ya (CAF) currently kwa kuingia mara kadhaa robo fainali lakini sio timu KUBWA kwa kuwa hawana kombe lolote la Africa.

Belgium iliwahi kukaa miaka (3) mfululizo katika nafasi ya (1) Duniani kwenye Ranks za (FIFA) lakini huwezi kusema Belgium ilikuwa timu KUBWA kulio Brazil

Timu zilizotwaa ubingwa wa Africa :

𝗖𝗵𝗮𝗺𝗽𝗶𝗼𝗻𝘀 𝗹𝗲𝗮𝗴𝘂𝗲 :

11 — Al Ahly Cairo

5 — TP Mazembe
5 — Zamalek
4 — Esperance
3 — Wydad Athletic
3 — Raja Athletic
3 — Canon Uaounde
3 — Hafia
2 — ES Setif
2 — Enyimba
2 — JS Kabylie
2 — Asante Kotoko
1 — Mamelodi Sundowns
1 — Etoile du Sahel
1 — Hearts of OAK
1 — ASEC Mimosas
1 — Orlando Pirates
1 — Club Africain
1 — FAR Rabat
1 — Mouloudia
1 — CARA Brazzaville
1 — AS Vita cub
1 — Ismailly
1 — Stade d'Abidjan

𝗖𝗼𝗻𝗳𝗲𝗱𝗲𝗿𝗮𝘁𝗶𝗼𝗻𝘀 𝗰𝘂𝗽 :

4 — Etoile du Sahel
4 — CS Sfaxien
3 — Raja Athletic
3 — JS Kabylie
2 — RS Berkane
2 — TP Mazembe
1 — USM Alger
1 — Al Ahly
1 — Zamalek
1 — AC Leopard
1 — Mas Fes
1 — FUS Rabat
1 — Stade Malien
1 — Esperance
1 — FAR Rabat
1 — Hearts of OAK
1 — Stella club d'Abidjan
1 — KAC Marrakech.

𝗥𝗲𝗺𝗲𝗺𝗯𝗲𝗿 :

Simba SC alichaguliwa kwenye (AFL) kwa sababu ya Connections alizozitengeneza (CEO) Barbara Gonzalez huko (CAF) + currently form na sio kwa sababu ya UKUBWA kama inavyohubiriwa.

Ingekuwa UKUBWA au Ranks basi Zamalek , Raja Athletic , Etoile du Sahel , JS Kabylie wenye makombe wangeshiriki.. Au Raja wa (5), Zamalek (6) RS Berkane (7), CR Belouizdad (8) wangejumuishwa kwa kuwa wana Rank nzuri zaidi kuliko Simba (9), TP Mazembe (13) na Enyimba (33).

In short (AFL) hawakuzingatia Ranks au Ukubwa kuchagua timu, walialika timu kutokana na Ukanda na connections walizonazo na baadhi ya viongozi wa timu.

Ili uwe timu kubwa, shinda kombe, kinyume chake ni kelele tu.

Dawa chungu ndio inatibu
 
Simba kilichomweka hapo ni fanbase

Walijua ile hamsha hamsha ya mashabiki wa Simba pale uwanjani ingesaidia kulikuza hili shindano jipya

Na kweli wanasimba waliupiga mwingi pale uwanjani

Ila kacheza mechi mbili kaishia kupigwa kibuti nje kama kawaida yake

Hakuna mkubwa hapa bongo,mkubwa atapatikana siku mmoja akileta kombe hapa nchini iwee Yanga au Simba
 
Sasa kuna tofauti gani hapo?
Hakuna tofauti kabisa.Sababu:-
1-Timu zote hadi Alliance wamepata bln mbilimbili.
2-Timu zote zilicheza ligi hiyo.
3-Timu zote mashabiki wao uchwara wananung'unika Mashujaa kucheza ligi hiyo pamoja nao.Wanadai walionewa.
4-Mashabiki mbuzi wanamlaumu Barbara kwa kuwa na "connection" CAF halafu ni mwanamke.Ni kama wao wanalilia kuvaa vimini sketi na madera.
 
Ungeenda ujipendekeze kabisa kwa kuipokea timu ngeni.
Nitampokea nani wakati nyie mmeshatolewa mapema?

Mngekaza leo ningeenda airport kumpokea Mamelodi pale airport

Robo robo zinatosha sasa

Jitahidini makundi mwaka huu muupdate kiwango mfike hata nusu
 
Hvi karibuni maneno haya yamekuwa yakitumika sana na mashabiki pamoja na baadhi ya maafisa wa vilabu vya soka Nchini.

"Timu yetu KUBWA Africa. WAKUBWA Africa tumekutana. Sisi ni miongoni mwa timu KUBWA (8) Africa," nk ....

Nini maana ya timu kubwa ?!

◉ Makombe / Mataji.
◉ Uwezo mzuri wa kiuchumi.
◉ Fan base.

Hivyo vitatu hapo juu ndivyo vigezo vinavyoipa timu UKUBWA kwa kuzingatia eneo ambalo timu ipo na historia.

Target ya mchezo wowote Duniani ni Makombe / Mataji. Hiki ndicho kigezo KIKUU kinachoipa klabu UKUBWA. Klabu inaweza isiwe na hivyo vingine (Uchumi & Fan base) lakini kama inashinda Makombe mengi kigezo hicho kinatosha kuipa klabu UKUBWA and vice versa is true.

Uwezo mzuri wa kiuchumi na Ukubwa wa Fan-base ni cement inayojenga UKUBWA wa klabu unaposhinda kombe.

Kwa maana hiyo, Simba na Yanga ni klabu KUBWA Tanzania na East Africa kwa sababu zimeshinda makombe mengi lakini sio klabu KUBWA Africa. Wote (2) wako kwenye process ya UKUAJI, hakuna klabu KUBWA Africa Nchini Tanzania kwa sasa.

𝗨𝗕𝗢𝗥𝗔 :

Ubora mara nyingi hupimwa kwa currently form, Ranks nk .. kwa wakati huo. Timu inaweza kuwa bora ndani ya muda fulani lakini isiwe kubwa katika eneo husika.

Mfano : Simba na Petro Atletico ni timu zilizofanya vizuri kwenye michuano ya (CAF) currently kwa kuingia mara kadhaa robo fainali lakini sio timu KUBWA kwa kuwa hawana kombe lolote la Africa.

Belgium iliwahi kukaa miaka (3) mfululizo katika nafasi ya (1) Duniani kwenye Ranks za (FIFA) lakini huwezi kusema Belgium ilikuwa timu KUBWA kulio Brazil

Timu zilizotwaa ubingwa wa Africa :

𝗖𝗵𝗮𝗺𝗽𝗶𝗼𝗻𝘀 𝗹𝗲𝗮𝗴𝘂𝗲 :

11 — Al Ahly Cairo

5 — TP Mazembe
5 — Zamalek
4 — Esperance
3 — Wydad Athletic
3 — Raja Athletic
3 — Canon Uaounde
3 — Hafia
2 — ES Setif
2 — Enyimba
2 — JS Kabylie
2 — Asante Kotoko
1 — Mamelodi Sundowns
1 — Etoile du Sahel
1 — Hearts of OAK
1 — ASEC Mimosas
1 — Orlando Pirates
1 — Club Africain
1 — FAR Rabat
1 — Mouloudia
1 — CARA Brazzaville
1 — AS Vita cub
1 — Ismailly
1 — Stade d'Abidjan

𝗖𝗼𝗻𝗳𝗲𝗱𝗲𝗿𝗮𝘁𝗶𝗼𝗻𝘀 𝗰𝘂𝗽 :

4 — Etoile du Sahel
4 — CS Sfaxien
3 — Raja Athletic
3 — JS Kabylie
2 — RS Berkane
2 — TP Mazembe
1 — USM Alger
1 — Al Ahly
1 — Zamalek
1 — AC Leopard
1 — Mas Fes
1 — FUS Rabat
1 — Stade Malien
1 — Esperance
1 — FAR Rabat
1 — Hearts of OAK
1 — Stella club d'Abidjan
1 — KAC Marrakech.

𝗥𝗲𝗺𝗲𝗺𝗯𝗲𝗿 :

Simba SC alichaguliwa kwenye (AFL) kwa sababu ya Connections alizozitengeneza (CEO) Barbara Gonzalez huko (CAF) + currently form na sio kwa sababu ya UKUBWA kama inavyohubiriwa.

Ingekuwa UKUBWA au Ranks basi Zamalek , Raja Athletic , Etoile du Sahel , JS Kabylie wenye makombe wangeshiriki.. Au Raja wa (5), Zamalek (6) RS Berkane (7), CR Belouizdad (8) wangejumuishwa kwa kuwa wana Rank nzuri zaidi kuliko Simba (9), TP Mazembe (13) na Enyimba (33).

In short (AFL) hawakuzingatia Ranks au Ukubwa kuchagua timu, walialika timu kutokana na Ukanda na connections walizonazo na baadhi ya viongozi wa timu.

Ili uwe timu kubwa, shinda kombe, kinyume chake ni kelele tu.

Dawa chungu ndio inatibu
Unaumia saaana kwa ubora wa Simba,kunywa sumu ufe tu
 
Back
Top Bottom