..tuko wangapi..?@Preta

Tresor Mandala

JF-Expert Member
Aug 20, 2010
36,519
76,512
natuma salamu kwa waume zangu TANMO na mtu chake....
ujumbe: mkisusa wenzenu wala....ikisindikizwa na wimbo..nataka paja mie (mfalme Yusuph)....​

Preta tupo wangapi?​

na hii list ina wahusu wote wenye wanawake zaidi ya mmoja..mie wangu ni Preta tu..lkn kuna watu wana nivamia mipaka nia yao ni kuchimba gesi na mafuta ninayo yapata toka kwa Preta..nao ni. TANMO. Kaizer...
 
Last edited by a moderator:
...anko Bishanga...kuna watu wamevamia mpaka wangu.( Preta)...wanataka kuchimba gesi na mafuta nao si wengine..ni TANMO..na Kaizer.....nimesema sikubali ...patachimbika...
 
Last edited by a moderator:
mi sijui....aseme wakati niko nae tunakuwaga wangapi.....sikubali leo....
...bebii mie najua tuko wenyewe..lkn naona kuna watu wana vamia mpaka wetu...hakika sitakubali katika hili..nitaua mtu mie...
 
unamfahamu Ruhazwe JR huyu alikua anatoka na Madame B ambaye alikua anatoka na Junior. Cux huyu naye alikua anatoka na Preta,ambaye aliwaikutoka na Bishanga,huyu naye ni mtu wa totozi kwakua analishugamami Kongosho ,anawakutokea out Catherine ambaye alikua na Judgement kabla ajambeba Beibe nastry,na hutoka kwa siri na BADILI TABIA ambaye anachukuliwa na Erickb52 huyu kumbuka alifumaniwa na Mwali wakati naye alikua anatoka na @St. Paka Mweus ambaye hutoka kisili na cacico CUTE FirstLady sweetlady .JE TUKO WANGAPI?
 
Last edited by a moderator:
jamani mbona mnataka kuniharibia ndoa? mie niko na Asprin pekee, pamoja na wake wenzangu cacico na Yummy chini ya usimamizi wa Kongosho...

unamfahamu Ruhazwe JR huyu alikua anatoka na Madame B ambaye alikua anatoka na Junior. Cux huyu naye alikua anatoka na Preta,ambaye aliwaikutoka na Bishanga,huyu naye ni mtu wa totozi kwakua analishugamami Kongosho ,anawakutokea out Catherine ambaye alikua na Judgement kabla ajambeba Beibe nastry,na hutoka kwa siri na BADILI TABIA ambaye anachukuliwa na Erickb52 huyu kumbuka alifumaniwa na Mwali wakati naye alikua anatoka na @St. Paka Mweus ambaye hutoka kisili na cacico CUTE FirstLady sweetlady .JE TUKO WANGAPI?
 
Last edited by a moderator:
na hii list ina wahusu wote wenye wanawake zaidi ya mmoja..mie wangu ni Preta tu..lkn kuna watu wana nivamia mipaka nia yao ni kuchimba gesi na mafuta ninayo yapata toka kwa Preta..nao ni. TANMO. Kaizer...

Dogo hebu tuliza mzuka,, Preta ni wa kwako peke yako.
Wengine ni wapita njia tu, wala hatukai..
Hujambo lakini?
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom