Tuko tayari kwenda Israel kuilinda Iwapo tutahitajika

Hata usemaje tuko tayari kufa kulitetea taifa teule hilo liko wazi kabisa halipingiki. Wee endelea tu kuleta porojo jamvini wakati sisi tunachanja mbuga kwenye mibaraka.

God bless and protect Israel and Saudi royal family.

Muko tayari!? Wewe na nani?
 
Inakuwaje wanajamvi,

Iwapo Taifa teule takatifu la Mungu pekee wa Kweli ikituhitaji tuko tayari.

Nikiwakilisha watetea wayahudi upande wa Afrika Mashariki natuma ujumbe wa wazi kwa Netanyahu asisite endapo atahitaji msaada wetu.

Tutakuja kwa uwingi wetu na tutalizunguka taifa teule kama human shield. Tuko radhi kufa hili utakatifu pekee uliosalia duniani uendelee kutamalaki.

Jiulize kwa nini Mungu mwenyewe Yesu aliamua kujibadilisha kupitia kwa wayahudi kwa nini siyo jamii nyingine? Tuko tayari kuitetea Israel.

Hatuna utani wa hili jambo kwa sababu ni tunu na mibaraka kwa familia yako pia hata tu kule kuwaza kuilinda Israel.

Israel ni ya kulindwa kwa nguvu zote.

ISRAEL THE LAND JEWS THE PEOPLE
Hiyo kauli ya kusema "sisi" ina utata hebu fafanua ni wewe nani mkuu mtakwenda kuwalinda mazayuni? Raia wakuchane live hapa hapa
 
Israeli mbali sana tuanze kuitetea KATIBA dhidi ya maharamia ya CCM yakiongozwa na jamaa mwenye faili lake Mirembe, hapo nitatuma mchango faster wa wewe kwenda Israel mara baada ya kukamilisha hili zoezi dogo.
Watu mnamwacha ndugai anaigeuza katiba anavyo taka ,eti mnaitetea Israel kweli akili kila mtu ana zake.Mm mlokole ila ujinga huo sinaga kabisa.
 
Inakuwaje wanajamvi,

Iwapo Taifa teule takatifu la Mungu pekee wa Kweli ikituhitaji tuko tayari.

Nikiwakilisha watetea wayahudi upande wa Afrika Mashariki natuma ujumbe wa wazi kwa Netanyahu asisite endapo atahitaji msaada wetu.

Tutakuja kwa uwingi wetu na tutalizunguka taifa teule kama human shield. Tuko radhi kufa hili utakatifu pekee uliosalia duniani uendelee kutamalaki.

Jiulize kwa nini Mungu mwenyewe Yesu aliamua kujibadilisha kupitia kwa wayahudi kwa nini siyo jamii nyingine? Tuko tayari kuitetea Israel.

Hatuna utani wa hili jambo kwa sababu ni tunu na mibaraka kwa familia yako pia hata tu kule kuwaza kuilinda Israel.

Israel ni ya kulindwa kwa nguvu zote.

ISRAEL THE LAND JEWS THE PEOPLE
ni cha wapi hicho ulichopuliza kaka..
 
Na wewe watakuja kukulinda lini? mnabaguliwa bado mnajikomba tu. kwa kifupi Israel hakuna kubeba box mkuu we endelea kupiga porojo za Israel na kupoteza muda wako,si ajabu hata bastola hujui inafanya vipi kazi.
 
Hahaha nimecheka balaa. Bora kubaguliwa na myahudi kwani ubaguzi wao ni baraka.
 
Kweli kabisa mkuu unaira upumbavu. Unadiriki kuita matamshi ya Mungu upumbavu. Mungu mwenyewe alisema ukiibariki, kuitetea na kuilinda Israel kwa vyovyote vile utabarikiwa. Tubu mtu wangu na rengua iyo kauli yako
Mambo ya kiroho hayo, ukiyaleta kwenye uhalisia Kana uraia wa TZ.
 
Bora uwe na utindio wa ubongo ukiwa na yesu kuliko kutokuwa na utindio wa ubongo ukiwa na shetani.

Jesus first jesus forever.

Huniambii kitu kuhusu yesu na israel
Kama andiko lako limesimamia kwenye udini mirembe inakuhusu mkuu,jewish 60% ni uislam,na israel yenyewe waislamu ni wengi kuliko wakristo,ukija kwenye ukristo kati ya israel na palestine,paleatine ina wakristo wengi kuliko israel,muulize mtu yoyote aliewahi kufika israel atakauambia israel weekday yao ni nusu siku ya ijumaa na jumamosi,jumapili ndio mwanzo wa wiki,israel kuna misikiti na masinagogi kanisa kwa nadra sana,jewish ali nguruwe kama uislam unavyosema

Screenshot_20210513-040112_Google.jpg
 
Inakuwaje wanajamvi,

Iwapo Taifa teule takatifu la Mungu pekee wa Kweli ikituhitaji tuko tayari.

Nikiwakilisha watetea wayahudi upande wa Afrika Mashariki natuma ujumbe wa wazi kwa Netanyahu asisite endapo atahitaji msaada wetu.

Tutakuja kwa uwingi wetu na tutalizunguka taifa teule kama human shield. Tuko radhi kufa hili utakatifu pekee uliosalia duniani uendelee kutamalaki.

Jiulize kwa nini Mungu mwenyewe Yesu aliamua kujibadilisha kupitia kwa wayahudi kwa nini siyo jamii nyingine? Tuko tayari kuitetea Israel.

Hatuna utani wa hili jambo kwa sababu ni tunu na mibaraka kwa familia yako pia hata tu kule kuwaza kuilinda Israel.

Israel ni ya kulindwa kwa nguvu zote.

ISRAEL THE LAND JEWS THE PEOPLE

Mkuu uko sahihi ila Nina Swali kwako
Kweli MUNGU aliamua YESU azaliwe Israel!
Mji wa Kipekee...
Sasa Kama tunaamini nibTaifa teule hope MUNGU pia anaweza kulilinda tena hata bila Nguvu za Kibinadamu!
Yaani Bila uwepo wako wewe pale!
Coz anajua ni Taifa aliloliteua! Na Bado nguvu yake ipo!
 
Waulizeni waethiopia waliochomwa sindano ili wasizae

Israel itatetewa na Mwenyezi Mungu Mwenyewe sio nyie nyani people mlioshindwa kujitawala
 
Ubarikiwe
Inakuwaje wanajamvi,

Iwapo Taifa teule takatifu la Mungu pekee wa Kweli ikituhitaji tuko tayari.

Nikiwakilisha watetea wayahudi upande wa Afrika Mashariki natuma ujumbe wa wazi kwa Netanyahu asisite endapo atahitaji msaada wetu.

Tutakuja kwa uwingi wetu na tutalizunguka taifa teule kama human shield. Tuko radhi kufa hili utakatifu pekee uliosalia duniani uendelee kutamalaki.

Jiulize kwa nini Mungu mwenyewe Yesu aliamua kujibadilisha kupitia kwa wayahudi kwa nini siyo jamii nyingine? Tuko tayari kuitetea Israel.

Hatuna utani wa hili jambo kwa sababu ni tunu na mibaraka kwa familia yako pia hata tu kule kuwaza kuilinda Israel.

Israel ni ya kulindwa kwa nguvu zote.

ISRAEL THE LAND JEWS THE PEOPLE
 
Hata usemaje tuko tayari kufa kulitetea taifa teule hilo liko wazi kabisa halipingiki. Wee endelea tu kuleta porojo jamvini wakati sisi tunachanja mbuga kwenye mibaraka.

God bless and protect Israel and Saudi royal family.
Usipende kutumia wingi kwenye mambo usiyoyajua vyema.
 
Inakuwaje wanajamvi,

Iwapo Taifa teule takatifu la Mungu pekee wa Kweli ikituhitaji tuko tayari.

Nikiwakilisha watetea wayahudi upande wa Afrika Mashariki natuma ujumbe wa wazi kwa Netanyahu asisite endapo atahitaji msaada wetu.

Tutakuja kwa uwingi wetu na tutalizunguka taifa teule kama human shield. Tuko radhi kufa hili utakatifu pekee uliosalia duniani uendelee kutamalaki.

Jiulize kwa nini Mungu mwenyewe Yesu aliamua kujibadilisha kupitia kwa wayahudi kwa nini siyo jamii nyingine? Tuko tayari kuitetea Israel.

Hatuna utani wa hili jambo kwa sababu ni tunu na mibaraka kwa familia yako pia hata tu kule kuwaza kuilinda Israel.

Israel ni ya kulindwa kwa nguvu zote.

ISRAEL THE LAND JEWS THE PEOPLE
Utumwa at the best. Mzungu alifanikiwa kutengeneza the perfect slave kama ww. Sasa hivi haangaiki hata kukwambia ukampiganie. We mwenyewe unatumia biblia kwenda kumpigania
 
Back
Top Bottom